TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

Ungekuwa na hoja ungezungumzia kwanza goli la maradouto dhidi ya prisons Alafu ungekuja kwa wale mabeki wa jkt kwanza kiprotocol Simba ilibidi wapewe penalty mbili kwa mpigo maana kuna beki alishika mpila na mwengine alimfanyia faulo Kapombe au ulikuwa unamsikiliza mtangazaji wa Tbc na foni zako za buku?kama huna tv angaliaga hata kibanda umiza kama ela ya kiingilio huna wahi mapema kafagie uangalie bure.
 
Hapi umenena mkuu...
Mm naona kama board ya mpira imeamua kuuza ligi kwa timu ya simba ili hali ichukue ubingwa kwa mbereko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…