TFF tusomeeni upesi sana hiyo barua iliyofika mchana huu kwa DHL ili Wanasimba tujimwage mitaani

Status
Not open for further replies.
Mkuu Genta, hujawahi kuniangusha, hope na hii habari ni genuine!
 
Fifa watataka taarifa ya marefarii wa mechi tatu za kadi za njano za Fakhi. TFF itaanza kusema Simba walichelewa kulipia ada. Fifa itasema leta cheti baba, maneno mengi ya nini? TFF itanywea na kupeleka taarifa za marefarii. Hapo kitakachofuata sijui ni nini ...
 
Mkuu Genta, hujawahi kuniangusha, hope na hii habari ni genuine!
Mkuu nivizuri ukatumia akili kidogo tu kwani FIFA kamwe hawawezi kufanya maamuzi bila ya kuwashirikisha wanachama wao ambao ni FA ya nchi husika
 

Barua yetu ilikua na uzito wa 1.50 Kg naomba nijue majibu ya FIFA yamefika angalau 2kg ili angalau nipate matumaini sisi mikia tumepata za mezani.
 
mtoa habari anaseme ni habari chini ya kapeti kuwa barua imefika kisha anadai wapewe ubingwa kipi ulicho ambiwa kuhusu hiyo barua
 
Fifa watasoma malalamiko ya Simba sc kisha Fifa lazima wawaambie Tff wapeleke Report ya mchezo hapa ndipo patamu
FIFA watatumia Kanuni zipi kusshughuikia tatizo mpaka waombe ripoti? LOL
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…