TFF tusomeeni upesi sana hiyo barua iliyofika mchana huu kwa DHL ili Wanasimba tujimwage mitaani

Status
Not open for further replies.
Mkuu kutolewa kwa Serengeti boys wewe kumbe umefurahi
 
View attachment 512836
Barua yetu ilikua na uzito wa 1.50 Kg naomba nijue majibu ya FIFA yamefika angalau 2kg ili angalau nipate matumaini sisi mikia tumepata za mezani.
Barua ya TFF kwenda kwa simba ilisema kuwa simba wamenyang'anywa point walizopewa na kamati ya masaa 72 kwa makosa kwani mchezaji husika hakuwa na kadi 3.
 
Ha ha ha we akili yako ya ki interahamwe tu. Yaani barua aandike SIMBA Sc kwenda FIFA, majibu apewe TFF. Kwani TFF ndiyo iliyokata rufaa?

Kama TFF watapewa nakala, mwandikiwa mwenye original ni simba. Onesheni mlichojibiwa
 
GENTAMYCINE Kumbuka Unaheshima Kubwa Sana Hii Habari Ni Ya Hatari Sana Kama Ni Ya Uongo
 
Ni barua au machine??? maana sitaki kuamini barua itumwe kwa DHL tena kwa TFF wakati mlalamikaji ni mkia sc.
 
Yaani we kilaza uliyepitiliza toka lini FIFA wakatuma taarifa zake kupitia DHL? Fifa wanatumia fax only sasa endelea kusubiri mpaka mwezi wa 8 ndio watatoa wakati ligi inaanza upya [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…