TFF Under 20 League

TFF Under 20 League

John-Q

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
643
Reaction score
961
Habari wanamichezo wenzangu

Naangalia ufunguzi wa ligi ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 20, mechi ni kati ya Yanga na Kagera

Kwa mshangao naona wachezahi wa timu zote umri umezidi yaani VIJEBA

Je, huu udanganyifu wa umri wahusika hawajauona au ni lipi hasa lengo la haya mashindano?
 
Ni kweli inabidi wakaguliwe... Walete vyeti vya kuzaliwa na kikiwa kipya watumbuliwe..huyu Malinzi anaitafuta Sana Yanga kwa nini icheze kagera na simba chamanzi
 
Back
Top Bottom