Ninamuonaga guadiola akiwa amevaa vivazi wakati wa mechi. Kama chocha anatakiwa avae suti isemwe wazi kuwa kama kocha hatavaa jezi za club basi avae suti na tai na viatu vya ngozi na mkanda na soksi. Suti lazima ipigwe pasi. Maana unaweza kuvaa suti lakini hauko nadhifu.Mbaya zaid kocha wa ruvu naye alivaa pensi
Huu ni upuuzi mwingine wa Tifu tifu ka Keria.Vazi nadhifu Kwa mmasai linaweza lisiwe nadhifu Kwa Mchagga. Kama hakuna juhudi ya kutoa fafsiri ya maana ya vazi nadhifu hakutakuwepo na tafsiri moja ya vazi nadhifu.
Askali wa kikoloni walikuwa wanavaa kaptula, je hawakuwa nadhifu?
Kocha Mwinyi Zahera kapewa adhabu na tff eti Kwa kosa la kutovaa nadhifu, yaani kavaa kaptula na t-shirt ya pollo.
Adhabu kama hii inalitia aibu taifa na shilikisho.
Tff toeni maelezo/description ya nini maana ya vazi nadhifu ili muondoshe subjectivity kwenye kanuni yenu, vinginevyo Zahera ana haki ya kukata rufaa.
Makocha wengi wanavaa bukta na t-shirts hapo vpl, Ndaragije anavaaga buktaAvae jezi za bench la ufund sio yale mapensi na matishet yake
Na makocha km pep ana mkataba na designer wake anavaa anavyojua yyNinamuonaga guadiola akiwa amevaa vivazi wakati wa mechi. Kama chocha anatakiwa avae suti isemwe wazi kuwa kama kocha hatavaa jezi za club basi avae suti na tai na viatu vya ngozi na mkanda na soksi. Suti lazima ipigwe pasi. Maana unaweza kuvaa suti lakini hauko nadhifu.
Anavyovaa Patrick Aussens kocha wa Simba kwangu mimi namuona hajavaa nadhifu, lile jeans na shati jeupe ambalo hajalichomekea akiruka kushangilia goli tumbo lote liko nje Mimi naona kama hajavaa nadhifu.
Ndugu yangu hawana kisasi na Mwl tu. Wanakisasi hadi na Yanga eti kisa UD Songo!Na makocha km pep ana mkataba na designer wake anavaa anavyojua yy
Km wana kisasi na huyo kocha waseme tu
Sasa napata picha kwanini wakati wa uchaguzi wakinaJulio waliingia nakaulimbiu ya kutaka mpira wao. Yaan Zahera kuwaeleza ukweli Tff wamekuja na Kanuni za kumdhibiti. Kwasasa kama nchi hatunawa kumlaumu makosa tunayafanya sisi wenyewe wakatiwa wa kuchagua viongozi.Ndio maana soka letu limedumaa viongozi wanahangaika na vitu visivyo na msaada katika kukuza kandanda letu.
Waafrika ukiwa msema kweli lazima wakuadhibu kwa makosa ya kishenzi.
Nani akuwekee hicho kipengele wakati unasema sheria ilitoka na Zahera amekaidi? Si ukiweke wewe mwenyewe kisha ukitafsiri hapa?Kwani Kingetokea nini endapo Zahera angebadili mavazi yake kuvaa kwa kadri dress code inavyotaka??Sheria imetoka na amekaidi??ukienda kinyume na sheria nini kifuate??
Upande wa Pili, Aussems alivaaje siku Simba inacheza na JKT Tanzania??
Kuna ambae ana kipengele hiko cha sheria ya uvaaji akiweke hapa tukidadavue??
DuhNdugu yangu hawana kisasi na Mwl tu. Wanakisasi hadi na Yanga eti kisa UD Songo!
Kanuni specific kila klabu inazo, maana kila klabu ina mjumbe katika Bodi ya Ligi. Labda useme kwa faida yako wewe na washangiliaji wengine, ila vilabu vilishapewa na hata Zahera alijibu kuhusu kanuni hiyo kabla ya mechi hii ya Ruvu, ila akafanya makusudiTff toeni maelezo/description ya nini maana ya vazi nadhifu ili muondoshe subjectivity kwenye kanuni yenu, vinginevyo Zahera ana haki ya kukata rufaa.