Labda pengine hujui kuwa miongoni mwa wanaotunga kanuni hizo, yupo kiongozi wa klabu ya Yanga, achilia mbali viongozi wa vilabu vingine wapenzi wa YangaNdugu yangu hawana kisasi na Mwl tu. Wanakisasi hadi na Yanga eti kisa UD Songo!
Mavaz laki 5 kejel mech tatuZahera ameadhibiwa kwa makosa mawili la kwanza ni hili la kutovaa kwa unadhifu na kingine ni kutumia lugha ya kejeli kwa TFF.
Soma vizuri utaona alama ya kuuliza, siku nyingine punguza kukurupukaNani akuwekee hicho kipengele wakati unasema sheria ilitoka na Zahera amekaidi? Si ukiweke wewe mwenyewe kisha ukitafsiri hapa?
Tutashangaa kama mshindo msolla atanyamazia upuuzi wa hivi Kwa timu yake.Stress za kutolewa na ud songo bado zinawaandama tff ,huyo kocha wa azam walipocheza ngao ya jamii juzi kati,tena kipindi washatangaza hiyo sheriaView attachment 1197209
Yote anayoyasema na kuyafanya Zahera ni yale yote yanayolikuza soka letu nchini. Mfano, Simba inapomsajili Kakolonya aliyeonyesha utovu wa nidhamu Yanga na Kwa coach ni kudidimiza nidhamu kwenye soka la Tanzania. TFF walitakiwa kumsaidia Kakolonya kupata haki zake Yanga bila kugomea kucheza mpira. Kwahiyo tff na Simba wameona kuwa Kakolonya alifanya vizuri kudai kwa kugoma kucheza mpira?Ndio maana soka letu limedumaa viongozi wanahangaika na vitu visivyo na msaada katika kukuza kandanda letu.
Waafrika ukiwa msema kweli lazima wakuadhibu kwa makosa ya kishenzi.
Kuwa smart ni kuwaje? It is a relative term. Tanzania haina dressing code, hivyo kila siku huwa wanatoa maelezo nini watu wasivae na nini kivaliwe wapi na lini.Kanuni specific kila klabu inazo, maana kila klabu ina mjumbe katika Bodi ya Ligi. Labda useme kwa faida yako wewe na washangiliaji wengine, ila vilabu vilishapewa na hata Zahera alijibu kuhusu kanuni hiyo kabla ya mechi hii ya Ruvu, ila akafanya makusudi
View attachment 1197276
Pensi na T-shirt siyo mavazi nadhifu? Umeshawahi ona ngoma ya mganda ya ndugu zetu wamanda ikichezwa? Umeshaona polisi wa enzi sile walikuwa wanavaa nini? Nadhifu ni nini? SUTI au?Avae jezi za bench la ufund sio yale mapensi na matishet yake
Pensi na T-shirt siyo mavazi nadhifu? Umeshawahi ona ngoma ya mganda ya ndugu zetu wamanda ikichezwa? Umeshaona polisi wa enzi sile walikuwa wanavaa nini? Nadhifu ni nini? SUTI au?
jibu swali kuvaa nadhifu ni vp? kuvaa pensi si unadhifu
Leo timu ya taifa ivae suti uwanjani labda tutashindaVazi nadhifu Kwa mmasai linaweza lisiwe nadhifu Kwa Mchagga. Kama hakuna juhudi ya kutoa fafsiri ya maana ya vazi nadhifu hakutakuwepo na tafsiri moja ya vazi nadhifu.
Askali wa kikoloni walikuwa wanavaa kaptula, je hawakuwa nadhifu?
Kocha Mwinyi Zahera kapewa adhabu na tff eti Kwa kosa la kutovaa nadhifu, yaani kavaa kaptula na t-shirt ya pollo.
Adhabu kama hii inalitia aibu taifa na shilikisho.
Tff toeni maelezo/description ya nini maana ya vazi nadhifu ili muondoshe subjectivity kwenye kanuni yenu, vinginevyo Zahera ana haki ya kukata rufaa.
Nani akuwekee hicho kipengele wakati unasema sheria ilitoka na Zahera amekaidi? Si ukiweke wewe mwenyewe kisha ukitafsiri hapa?