TFF, vazi nadhifu ni lipi?

Kama Zahera asingeiandaa timu kama usemavyo basi ingeshatoleo kwenye championship league. Kama Simba ikiandaliwa vizuri mbona haiko CL? Yaani Ruvu kuifunga Yanga ni sehemu ya mchezo wa mpira, hata huko duniani huwa inatokeaga Tu. Na kwabahati nzuri Msolla, Mwakalebela, Mkwasa, Mayai n.k ni watu wa mpira huwa wanalifahamu hilo.
 
Ndugu yangu hawana kisasi na Mwl tu. Wanakisasi hadi na Yanga eti kisa UD Songo!
Sasa Yanga waliwatuma Ud songo kuitoa mikia? Na bahati mbaya au nzuri Yanga walikuwa zao mbali kipindi hicho mikia wanachomolewa battery
 
Great..............great..........
 
Wewe mwalimu wako aliyewahi mbona unasubiri kupangiwa na Ihefu fc kombe la azam?Hao TP ,Esperance,ahly na Yanga utazidi kuwaona kwa kideo.msiishi kwa mazoea.
 
Wewe mwalimu wako aliyewahi mbona unasubiri kupangiwa na Ihefu fc kombe la azam?Hao TP ,Esperance,ahly na Yanga utazidi kuwaona kwa kideo.msiishi kwa mazoea.
Sina kinyongo na yanga kabisa,,,nyie chezeni huko kimataifa na nawatakia kila la kheri kiroho safi kabisa! Nawasubiri vpl tu huku ndio vita yetu iliko!
 
Hivi kocha akiamua kuvaa bukta ya timu yake au track suit ni kosa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…