kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #61
Kama Zahera asingeiandaa timu kama usemavyo basi ingeshatoleo kwenye championship league. Kama Simba ikiandaliwa vizuri mbona haiko CL? Yaani Ruvu kuifunga Yanga ni sehemu ya mchezo wa mpira, hata huko duniani huwa inatokeaga Tu. Na kwabahati nzuri Msolla, Mwakalebela, Mkwasa, Mayai n.k ni watu wa mpira huwa wanalifahamu hilo.Sasa nyie gongowazi si mkubali tu makosa ya mwl wa timu yenu?!!!
Lile lijamaa lilikosea siku ile, cha kufanya mngeongea naye na kufanya mikakati ya timu yenu kuangalia namna timu yenu itacheza bila mwalimu kuwepo katika benchi la ufundi..
Zahera ana dalili ya dharau ndio mana alijikalia kwao weeee na kusahau kuwahi kuja kupanga timu yake na maandalizi ya ligi!..
.
.
Nawashauri liangalieni hili pia ikiwezekana mmkanye na kumpa utaratibu kulialia kwenu haukusaidii