Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#ausems alivaa mshati mkubwaaa hakuwa nadhifuStress za kutolewa na ud songo bado zinawaandama tff ,huyo kocha wa azam walipocheza ngao ya jamii juzi kati,tena kipindi washatangaza hiyo sheriaView attachment 1197209
Yani nyie Yanga kwa upumbavu wenu ndo mtaichukia TFF.Ukivaa kama Mpoto huna nidhamu?
Zahera angekuwa Mmasai na kuvaa kimasai asingekuwa na nidhamu?
Ukivaa kigogo ni vibaya?
Ukivaa kaptula ni vibaya?
Vazi la TFF ni lipi?
Kwanini wachezaji na waamuzi wa kike wavalishwe bukta kama nia ni kulinda heshima na nidhamu?
Kwani malengo hasa ya kuvaa ni nini? Hili litasababisha nusu ya wapenda soka nchini wauchukie uongozi wa TFF hadharani
Duh! wewe ndo hamnazo kabisa!!!Yani nyie Yanga kwa upumbavu wenu ndo mtaichukia TFF.
Ila kanuni imetangazwa kabla hata ligi haijaanza, kama mgekua na akili msingekua mnalalamika baada ya Zahera kupigwa faini, mgelalamika pale tu TFF wametangaza hiyo sheria.
Kutokujua kitu gani kitatokea badae nao pia ni ujinga.
Huyo Zahera alisikia kabsa kuhusu hiyo sheria lakini kwa kiburi cha kujifanya ka yeye ndo anajua sana kuliko wengine kamua kuvaa hivyo hivyo.
Huyu Zahera anajua kabsa kuna sheria kutokubwatuka bwatuka lakini akaendelea kubwatuka bwatuka tu.
Nyie Yanga na Wandishi wote wa habari za michezo kwa upumbavu wenu ili jambo angepigwa faini kocha wa timu nyingne tofauti na Simba na Yanga hii isingekua habari.
Lakini kwa sababu wa uvivu wa kutafuta habari mmebaki mnajadili hili jambo wakati Kwenye sheria lipo.
Mgeonekana watu wenye akili ka hili jambo mgelijadili wakati TFF wanatangaza mabadiliko ya sheria sio baada ya kuanza kutekeleza.
Ona sasa lile goli walilonyimwa Ruvu shouting haikua habari sana kwa sababu ilikua inaifavour timu ambazo ndo mnaita timu kubwa.
Acheni ushamba fikiria jambo kwa ukubwa sio kuuachia ushabiki ufikirie.
TFF wanafanya ubaguzi, eti Zahera hakuvaa nadhifu huku kocha wa Simba akiachwa amevaa shati la mtumba alilonunua Karume.Ninamuonaga guadiola akiwa amevaa vivazi wakati wa mechi. Kama chocha anatakiwa avae suti isemwe wazi kuwa kama kocha hatavaa jezi za club basi avae suti na tai na viatu vya ngozi na mkanda na soksi. Suti lazima ipigwe pasi. Maana unaweza kuvaa suti lakini hauko nadhifu.
Anavyovaa Patrick Aussens kocha wa Simba kwangu mimi namuona hajavaa nadhifu, lile jeans na shati jeupe ambalo hajalichomekea akiruka kushangilia goli tumbo lote liko nje Mimi naona kama hajavaa nadhifu.
TFF wanafanya ubaguzi, eti Zahera hakuvaa nadhifu huku kocha wa Simba akiachwa amevaa shati la mtumba alilonunua Karume.Huu ni upuuzi mwingine wa Tifu tifu ka Keria.
Ni kweli kabisa mfano mechi ya Ruvu na Yanga ilitakiwa iwe 2-0 line woman akagoma, hawa ndio wanauwa soka letu.Yote anayoyasema na kuyafanya Zahera ni yale yote yanayolikuza soka letu nchini. Mfano, Simba inapomsajili Kakolonya aliyeonyesha utovu wa nidhamu Yanga na Kwa coach ni kudidimiza nidhamu kwenye soka la Tanzania. TFF walitakiwa kumsaidia Kakolonya kupata haki zake Yanga bila kugomea kucheza mpira. Kwahiyo tff na Simba wameona kuwa Kakolonya alifanya vizuri kudai kwa kugoma kucheza mpira?
Zahera kusema ratiba ya vpl ni ovyo anadanganya? Na uhovyo huo ameutaja.
Zahera anaposema wachezeshaji wanaboronga anadanganya? Kama anadanganya mbona mashindano ya CAF hakukuwa na hata referee mmoja kutoka kwenye ligi yetu?
Tff iachane na mahaba ya timu moja, itaua mpira kwa kutaka kubeba baadhi ya timu migongoni mwao.
Viongozi wa club wasikae kimya.
Bodi ya ligi ina watu wa Yanga Africa piaTFF na bodi ya ligi wote ni wapumbavu na mijitu ya hovyo kabisa
Umenena kweli, wapo kimya hawaongelei goli la 2 la Ruvu Shooting, double standards, mkuki umegeukia kwao wamegundua kumbe unachoma.Yani nyie Yanga kwa upumbavu wenu ndo mtaichukia TFF.
Ila kanuni imetangazwa kabla hata ligi haijaanza, kama mgekua na akili msingekua mnalalamika baada ya Zahera kupigwa faini, mgelalamika pale tu TFF wametangaza hiyo sheria.
Kutokujua kitu gani kitatokea badae nao pia ni ujinga.
Huyo Zahera alisikia kabsa kuhusu hiyo sheria lakini kwa kiburi cha kujifanya ka yeye ndo anajua sana kuliko wengine kamua kuvaa hivyo hivyo.
Huyu Zahera anajua kabsa kuna sheria kutokubwatuka bwatuka lakini akaendelea kubwatuka bwatuka tu.
Nyie Yanga na Wandishi wote wa habari za michezo kwa upumbavu wenu ili jambo angepigwa faini kocha wa timu nyingne tofauti na Simba na Yanga hii isingekua habari.
Lakini kwa sababu wa uvivu wa kutafuta habari mmebaki mnajadili hili jambo wakati Kwenye sheria lipo.
Mgeonekana watu wenye akili ka hili jambo mgelijadili wakati TFF wanatangaza mabadiliko ya sheria sio baada ya kuanza kutekeleza.
Ona sasa lile goli walilonyimwa Ruvu shouting haikua habari sana kwa sababu ilikua inaifavour timu ambazo ndo mnaita timu kubwa.
Acheni ushamba fikiria jambo kwa ukubwa sio kuuachia ushabiki ufikirie.
Umenena kweli, wapo kimya hawaongelei goli la 2 la Ruvu Shooting, double standards, mkuki umegeukia kwao wamegundua kumbe unachoma.
Yanga imekujaje?Bodi ya ligi ina watu wa Yanga Africa pia
Jamaa wanalialia tu badala ya kukaa na mwl wao waweke mikakati ya timu kucheza bila mwl