TFF, VODACOM, STAR T.V walipanga kuihujumu Yanga?

TFF, VODACOM, STAR T.V walipanga kuihujumu Yanga?

kipindupindu, makombe yaliandaliwa mawili tayari kwa lolote, naweka kumbukumbu7 sawa teeh tteeh
 
Bora hata ushukuru hawakuwaonesha hao Yanga na Watoto wao, wala usingefurahia ubingwa....Matokeo ni ya kupangwa ...wazi wazi kabisa. Mnanunua mechi sijui kwa faida ya nani...CAF kila mwaka ni wahapahapa tu.

Matunge = Madenge wa SANI
 
Fanya utafiti kabla ya kukurupuka ...TFF ilishatangaza kuwa kwa kuwa mshindi wa mwaka huu angekuwa simba ama Yanga na kwa kuwa mshindi alikuwa akabidhiwe kombe lake siku ileile...basi TFF iliandaa makombe mawili..la zamani lilipelekwa uwanja wa taifa Dar, na jipya lilipelekwa kirumba ili timu yoyote itakayoibuka kidedea iweze kukabidhiwa kombe lake.

acha porojo mkuu,mwanza hakukuwa na kombe la kweli!kuna mantiki gani ya kuwapa simba kombe la zamani na yanga jipya?kubali walichemka tu !
 
kipindupindu, makombe yaliandaliwa mawili tayari kwa lolote, naweka kumbukumbu7 sawa teeh tteeh

kulikuwa na kombe halisi(TAIFA) na kombe feki(KIRUMBA)
swali ni kwamba kwa nini kombe halisi liende Taifa?TFF walirusha shilingi?lazima tuwe na taratibu zinazoguide mambo kama haya sio kufuata wishes za mtu.
 
Back
Top Bottom