Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata ushukuru hawakuwaonesha hao Yanga na Watoto wao, wala usingefurahia ubingwa....Matokeo ni ya kupangwa ...wazi wazi kabisa. Mnanunua mechi sijui kwa faida ya nani...CAF kila mwaka ni wahapahapa tu.
Fanya utafiti kabla ya kukurupuka ...TFF ilishatangaza kuwa kwa kuwa mshindi wa mwaka huu angekuwa simba ama Yanga na kwa kuwa mshindi alikuwa akabidhiwe kombe lake siku ileile...basi TFF iliandaa makombe mawili..la zamani lilipelekwa uwanja wa taifa Dar, na jipya lilipelekwa kirumba ili timu yoyote itakayoibuka kidedea iweze kukabidhiwa kombe lake.
kipindupindu, makombe yaliandaliwa mawili tayari kwa lolote, naweka kumbukumbu7 sawa teeh tteeh