Fanya utafiti kabla ya kukurupuka ...TFF ilishatangaza kuwa kwa kuwa mshindi wa mwaka huu angekuwa simba ama Yanga na kwa kuwa mshindi alikuwa akabidhiwe kombe lake siku ileile...basi TFF iliandaa makombe mawili..la zamani lilipelekwa uwanja wa taifa Dar, na jipya lilipelekwa kirumba ili timu yoyote itakayoibuka kidedea iweze kukabidhiwa kombe lake.