TFF vs Yanga, Simba angedroo Yanga angechukua ubingwa bila Derby

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Kuna mvutano na vita kubwa kati ya Yanga na TFF, kwani Yanga ilisema haitacheza mchezo wa Derby , ambapo TFF anafanya Kila namna , na Kila hujuma Ili Derby ichezwe Kwa namna yoyote Ile.

Hivyo Kwa matokeo ya Leo, isingewezekana TFF wakubali Simba apate draw ,hivyo Kuna uwezekano mkubwa Refa alielekezwa Simba ashinde Ili Derby iwe Relevant.

Ni hivi Tofauti ya point kati ya Simba na Yanga ,kama Kila mtu akishinda mechi zake ni point 1, Sasa Leo kama Simba Angedraw tofauti ingekuwa ni point 3, ambapo moja Kwa moja ingepelekea Yanga kushinda vita yake dhidi ya bodi ya Ligi na TFF, kwani kulingana na goal difference kubwa iliyonayo Yanga dhidi ya Simba, basi Yanga angegomea Derby na Simba angepewa point 3 na Magoli matatu, ambapo Simba na Yanga zingelingana point , lakini yanga angekuwa bingwa Kwa tofauti ya magoli.

Hivyo Sasa TFF akishirikiana na Simba anafanya Kila liwezekanalo isitokee Simba akadondosha point , mana akidondosha point Yanga bingwa hata wakigoma kucheza kama ilivyo Al ahly ilivyogoma dhidi ya Zamaleki, kwani wapanzani walipewa point 3 na Magoli matatu.

Yanga Wana kazi kubwa ya kushindana na TFF, Simba, Bodi ya Ligi, Marefa.
 
Ushauri kwa Wanayanga na wapenzi wa timu zinazoonewa ili marefa wachezeshe mechi kwa haki waamuzi wa leo wavunjeni miguu.

MTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE.!
Hii Ngoma Bodi ya Ligi IPO nyumba, ingetoka hii droo , yanga wangeendelea na msimamo wa kutocheza derby na ubingwa wakachukua, jambo ambalo TFF hataki mana ataonekana kashindwa kesi na yanga
 
Hivyo hivyo hivyo hivyo nyiiiingi poleni Sana namtateseka Sana this time
 
Kwamba yeye hafungiki?
 
Mtaokoteza hadi uchafu wa jalalani ili tu mpate faraja vyura nyie
 
Ona maamuma hii !!! Unadhani kutocheza derby unakatwa point3 na goli 3 Tu? Unapokonywa 15points...Huo ubingwa labda WA kombe la muungano. TFF na Bodi ya ligi wamewashika patamu sana
 
#Namimi nashauri Yanga wasusie michezo iliyobaki sababu Simba kabebwa
#Pia nashauri Yanga twende tukafungue kesi kule CAS maana Jana tu Cas wanataka tumalizane na TFF huku Simba akipata ushindi wa mchingo

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Nguvu moya!
 
Bila derby kuna kunyang'anywa point 15 na kushushwa madaraja mawili. Huo ubingwa ungepatikanaje?
Bora ukisoma ukakuta Kuna watu wanajua mpira kama wewe! Wengi humu ni bendera fata upepo na hawajui mpira na kanuni zake,ki uhalisia hakuna BINGWA bila kukamilika mechi kisa yanga kagomea mechi ,ikiwa hivyo watanyany'anywa points 15 na adhabu zingine,je hapo atakuwa BINGWA? Tatizo la yanga ni ujuaji wa kutokujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…