TFF vs Yanga, Simba angedroo Yanga angechukua ubingwa bila Derby

TFF vs Yanga, Simba angedroo Yanga angechukua ubingwa bila Derby

Kuna mvutano na vita kubwa kati ya Yanga na TFF, kwani Yanga ilisema haitacheza mchezo wa Derby , ambapo TFF anafanya Kila namna , na Kila hujuma Ili Derby ichezwe Kwa namna yoyote Ile.

Hivyo Kwa matokeo ya Leo, isingewezekana TFF wakubali Simba apate draw ,hivyo Kuna uwezekano mkubwa Refa alielekezwa Simba ashinde Ili Derby iwe Relevant.

Ni hivi Tofauti ya point kati ya Simba na Yanga ,kama Kila mtu akishinda mechi zake ni point 1, Sasa Leo kama Simba Angedraw tofauti ingekuwa ni point 3, ambapo moja Kwa moja ingepelekea Yanga kushinda vita yake dhidi ya bodi ya Ligi na TFF, kwani kulingana na goal difference kubwa iliyonayo Yanga dhidi ya Simba, basi Yanga angegomea Derby na Simba angepewa point 3 na Magoli matatu, ambapo Simba na Yanga zingelingana point , lakini yanga angekuwa bingwa Kwa tofauti ya magoli.

Hivyo Sasa TFF akishirikiana na Simba anafanya Kila liwezekanalo isitokee Simba akadondosha point , mana akidondosha point Yanga bingwa hata wakigoma kucheza kama ilivyo Al ahly ilivyogoma dhidi ya Zamaleki, kwani wapanzani walipewa point 3 na Magoli matatu.

Yanga Wana kazi kubwa ya kushindana na TFF, Simba, Bodi ya Ligi, Marefa.
Hata unachokiongea hukijui..
Ukigomea mechi yoyote unapokonywa alama 15..

Mpira huujui

KWa maana hii hata taarifa yako hii inaonekana ya kutunga.
 
Hata unachokiongea hukijui..
Ukigomea mechi yoyote unapokonywa alama 15..

Mpira huujui

KWa maana hii hata taarifa yako hii inaonekana ya kutunga.
sasa subiri simba wajichanganye wadroo au wafungwe ndo utaona
 
Back
Top Bottom