TFF wakata rufaa mahakamani Wambura kurudishwa ofisini

TFF wakata rufaa mahakamani Wambura kurudishwa ofisini

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidau amesema licha ya mahakama kumrudishia umakamu mwenyekiti Michael Wambura
TFF kupitia wakili wake Mgongolwa wamekata rufaa mahakani kupinga maamuzi hayo Sasa wanasubiri taratibu zingine kuendelea
 
Back
Top Bottom