Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF kila zama zinakuja na kitabu chake. Naona safari hii watakua busy na mahakama kuliko maendeleo ya soka lenyewe.TFF imehamishia soka kwenye viunga vya Mahakama.
Tatizo lao uhuni umekuwa mwingi mno!! We kila anayeonekana ni mlengo mwingine, mnamfungia maisha!!! Na bado wao ndio wana leta uhuni,TFF hii hamna kitu kabisa. Wanashinda sana mahakamani badala ya uwanjani
Kalimie Meno Mkuu..Naombeni jembe nikalime