Kuna kipindi bosi wa Tanzania Farmers Association huwa anajisahau na kujikuta anatembea mitaanibakiwa ameshika kijiko.Kuna baadhi ya watendaji wanafanya TFF ionekane genge la wahuni
na maadili ya uongozi hana kabisa. ashukuru upepo wa mafanikio ya Simba na Yanga umembeba.Kuna kipindi bosi wa Tanzania Farmers Association huwa anajisahau na kujikuta anatembea mitaanibakiwa ameshika kijiko.
Ile U-turn waliyoipiga TFF kutoka kwa Leodegar Chilla Tenga kwenda kwa huyu aliyepo, mpaka leo sikuwahi kuielewa kabisa.
ukitoka kambi unarudi hom kuendelea na masomo ndo ilikuwa kuzimwa huko. mana dogo anasema 20k wamepewa ni nauli.Wali
Waliwaambia hao watoto what is next baada ya kurudi.😶
ndio boss.Yaani huu ndio utetezi sio...😇😇
Mtupe update.Wallace Karia anaongea muda huu
Azam sports 3 HD
Ukishaona wanaosaka kura wanatumia rushwa kuzipata elewa kuwa kwenye upmgozi wao hakuna jipyaView attachment 2843785
nimeamka tu nimekutana na hii kutoka mwananchi. huyu ni dogo national team chini ya miaka 15, mashindano yamefanyika Uganda yameisha hivi karibuni. TFF wanadai wapo katika mchakato wa hundi. Vipi kuhusu mwaka jana kulipwa 50,000.
hii imenikumbusha ndugu yangu alichaguliwa national team beach soccer. Kambi TFF Karume aliishia kula tu na kupanda basi la TFF. Yaliyobaki tumwachie Mungu
Sawa, kujenga hiyo miundombinu ni maagizo ya huyo Motsepe kwa maelezo ya Wallace Kari!!TFF wamesema watajenga miundombinu, hawatagawa hizo pesa
Rais mwenyewe muhuniKuna baadhi ya watendaji wanafanya TFF ionekane genge la wahuni
Je kama wasingeshida? Hiyo miundombinu isingejengwa? Maana ninavyojua hiyo hela haikuwa kwenye projects ya ujenziTFF wamesema watajenga miundombinu, hawatagawa hizo pesa
kazi ya kujenga miundombinu ni ya serikali. ila zawadi za hao watoto kujengea miundombinu ni hujuma.Sawa, kujenga hiyo miundombinu ni maagizo ya huyo Motsepe kwa maelezo ya Wallace Kari!!
Tatizo liko kwenye hicho walichokifanya kwa hao watoto. Yaani wamepambana kwa jasho na damu mpaka wakafanikiwa wengine kuchukua ubingwa, na wengine kushika nafasi ya 3!
Je, ilikuwa ni sahihi kuwapa tu nauli ya elfu 20 ili warejee majumbani kwao? Ndiyo kusema hata hao viongozi waliowasimamia hao watoto hawakulipwa chochote? Au wamewachukulia kama viumbe visivuo na mahitaji yao binafsi?
Karia akubali kukosolewa! Na asijione yeye ndiyo mwenye akili kuliko binadamu wengine wote duniani.