Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ungeseesaaana hawawqzaziwao wakataee huu uboyaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeseesaaana hawawqzaziwao wakataee huu uboyaaaa
Tangiapo.Kuna baadhi ya watendaji wanafanya TFF ionekane genge la wahuni
MkuuTangiapo.
😂😂😂😂😂😂Rais mwenyewe muhuni
Hukuelewa kivipi kwani si kiongozi halali aliyepigiwa kura za ndio....??Kuna kipindi bosi wa Tanzania Farmers Association huwa anajisahau na kujikuta anatembea mitaanibakiwa ameshika kijiko.
Ile U-turn waliyoipiga TFF kutoka kwa Leodegar Chilla Tenga kwenda kwa huyu aliyepo, mpaka leo sikuwahi kuielewa kabisa.
Natambua mkuu, ndiyo maana nimeshindwa kuelewa.Hukuelewa kivipi kwani si kiongozi halali aliyepigiwa kura za ndio....??
Acha kuwaza kwa kutumia kal.i.oo,Hawa watoto na wenyewe mbona wana haraka sana na maisha? Miaka 15 unatakwa ulipwe pesa ili uifanyie nini?
Wanapaswa wajitume ili siku wakienda kucheza ulaya hyo hela wanaoidai sa iv itakuwa km sh 100 tu!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wewe unamuamini huyo Ndimbo?
Wewe unawaza kwa kutumia nn?Acha kuwaza kwa kutumia kal.i.oo,
Majibu ya kihuni kupitiliza
Za mwaka jana?
washazima hizo habari kwa ujio wa VAR taifa.Za mwaka jana?
Basi tuchukulie ni mapungufu yake binafsi na sio mfumo.....Natambua mkuu, ndiyo maana nimeshindwa kuelewa.
Ww unaencheza ulaya upo team ganHawa watoto na wenyewe mbona wana haraka sana na maisha? Miaka 15 unatakwa ulipwe pesa ili uifanyie nini?
Wanapaswa wajitume ili siku wakienda kucheza ulaya hyo hela wanaoidai sa iv itakuwa km sh 100 tu!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app