TFF wamjibu dogo aliyelalamika kulipwa 20,000

TFF wamjibu dogo aliyelalamika kulipwa 20,000

Kuna kipindi bosi wa Tanzania Farmers Association huwa anajisahau na kujikuta anatembea mitaanibakiwa ameshika kijiko.
Ile U-turn waliyoipiga TFF kutoka kwa Leodegar Chilla Tenga kwenda kwa huyu aliyepo, mpaka leo sikuwahi kuielewa kabisa.
Hukuelewa kivipi kwani si kiongozi halali aliyepigiwa kura za ndio....??
 
Tatizo si watendaji wala viongozi wa tff bali mfumo na sheria mbovu za TFF.mabadiliko ni sasa
 
Hawa watoto na wenyewe mbona wana haraka sana na maisha? Miaka 15 unatakwa ulipwe pesa ili uifanyie nini?


Wanapaswa wajitume ili siku wakienda kucheza ulaya hyo hela wanaoidai sa iv itakuwa km sh 100 tu!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Any way, tujadili kidogo.....TFF wakijitutumua angalau wawe wanawapa Tsh ngap madogo?
 
Back
Top Bottom