NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndiyo maana walijhami kwa kuweka zuio watu wasihoji chochote. Pumbavu kabisa wanamuendekeza Ghalib,huyu ni mtu wa chupli chupli maisha yake yoteMtoa mada kwenye haya mambo ushabiki weka pemben alafu fuata sheria na kanuni ndo unaweza elewa kidogo bt kiukwel tiefuefu na gsm wake wamepuyanga kwa hili
Na Ghalib ni mnyama ila tu inapokuja kwenye kutafuta pesa anaangalia hela ilipolala ndiyo anapoamkia. Janjajanja.Gsm kama anataka kuwekeza awekeze Yanga,kama hataki atengeneze timu yake ipambane daraja la kwanza huko alaf iingie ligi kuu then ndiyo awavishe hao vijana wake hayo ma nembo yake kwa mbinu aliyotumia kwakwel amegonga mwamba simba saiz ina viongozi wenye upeo mkubwa
Usikute said gharib yey binafsi hana shida ila tatizo ni vilaza wanaomzunguka wanamshaur mambo ya ajab mwisho wake ni aibu na hasara kutengeneza mabango na kisha kuyabandika na kuyabandua kazi bure
Wadau wa yanga walikuwa wakifurah wakijua simba itavurugwa na vitu vidogo vidogo wamefeli..
Ubingwa unapatikana kwa ubora wa uwanjani tu. Mwenye timu bora ndiye atakuwa bingwa.wanasimba wengi tunafurahia kinachoendelea bt tunasahau kua mara zote team inayokua na migogoro na tff mara zote haichukui ubingwa.
Kwa sababu Yanga ni GSM na GSM ni Yanga.Mm sijajua simba wanawakataa mkataba wa gsm kwa kuwa hawakushirikishwa au wanaukataa mkataba kwa kuwa gsm ni wadhamin wa yanga pia?
Hana tofauti na shishi foodAmetengeneza tendency ya kuzungumziwa kila siku
Aya sawaHana tofauti na shishi food
Hapa si suala la mdhamini kukubali bali kanuni za tff zinasemaje. Sheria haibadilishwi kiholela hivyo.Kuhusu nembo ya NBC nadhani tff wali experience kwenye nembo ya gsm kuwa njano na kijani badala ya nyekundu na nyeupe.mwenye nembo akikubali rangi ibadilishwe akuna shida kikubwa ni nembo imevaliwa.
Simba anafata sheria yanga anafata utamaduni
Jamaa wanajua sana Biashara hawajawahi kufeli.Hakika GSM ni kampuni kubwa dunianiGSM-Most trending name in Tanzania for 4 months consecutive
Kampuni kubwa ya kwiooo.gsm waache kujipendekeza kwa Simba ya kimataifaJamaa wanajua sana Biashara hawajawahi kufeli.Hakika GSM ni kampuni kubwa duniani
Yaani GSM ni kama maji usipoyaoga basi utayanywaJamaa wanajua sana Biashara hawajawahi kufeli.Hakika GSM ni kampuni kubwa duniani
Hata nyumbani, mtoto mwenye kipato kikubwa na kuiletea familia heshima hupendelewa na hata mama yake anaweza kumuandalia maji ya kuoga.Kwasababu tajwa hapo juu na Simba nao wanadeka.
Jambo kama hili la mgogoro wa tff na Simba likitokea kwa Yanga uwa kuna press mfululizo za body ya ligi au tff kutoa vitisho na mikwara kwa Yanga.
Lakini kwa Simba tff na body ya ligi huwa wanaonyesha unyonge flani hivi tofauti na inavyotarajiwa.
Nawasilisha.