superwarkills
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 136
- 83
Basi leo ndiyo ile siku ya Mechi ya Simba na yanga ,nikuambie kitu usichojua unafikiri inakuaga mechi kali basi,
Mashabiki ndiyo huwa wanapania,
wachezaji wao waala....maana wachezaji wanakuwa wameshachezeshwa na Maneno ya mashabiki,
basi wanacheza masikio yapo juu.
Ila leo zamu ya #uto kulala mechi imeisha.
Mashabiki ndiyo huwa wanapania,
wachezaji wao waala....maana wachezaji wanakuwa wameshachezeshwa na Maneno ya mashabiki,
basi wanacheza masikio yapo juu.
Ila leo zamu ya #uto kulala mechi imeisha.