TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

Basi leo ndiyo ile siku ya Mechi ya Simba na yanga ,nikuambie kitu usichojua unafikiri inakuaga mechi kali basi,

Mashabiki ndiyo huwa wanapania,

wachezaji wao waala....maana wachezaji wanakuwa wameshachezeshwa na Maneno ya mashabiki,

basi wanacheza masikio yapo juu.

Ila leo zamu ya #uto kulala mechi imeisha.
 
Yaan kuonekana tu kwa sura ya yule engineer tayar inaleta mgongano wa kimaslai
 
Back
Top Bottom