TFF wanapanga matokeo dhidi ya Yanga

Kwa hiyo pamoja na kupendelewa wachezaji wenu hawajafungiwa wakati walifanya makosa ya kufungiwa ili wacheze na simba bado mnaona simba inapendelewa! kweli nyinyi ni timu ndogo.
 
Gomeni, msipeleke timu uwanjani.
 
Utopolo ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao ni kulalamika lalamika ili wapate wepesi. Hawafuati taratibu ... uwanjani wanajiingilila watakavyo, na wanavyoamua, wanachimba mashimo uwanjani na kufukia fukia matakataka yao, nk
 
1. Diarra
2. Yao
3. Kibwana
4. Bacca ndio maana kwenye derby alitoka kabla ya 90'
5. Mwamnyeto
6. Mkude/mauya na baadae ataingia mdathiri ili kutengeneza double pivot na aucho
7. Moloko
8. Aucho
9. Msonda
10. Aziz ki
11. Max zengeli.

Hapa tunashinda mbili.
Kikubwa twende na nidhamu, morali na mbinu sahihi za master
 


wamesahau yakwamba yanga wanakikosi kipana.
 
Nyie si mamelodi bana...mna kosi kuubwaaa....chezesheni wale ambao hawakucheza ili wengine wapumzike...
 
Na Yanga tulivo watu wabad ni kutembeza mboko tu mechi zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sasa hivi imekua Yanga inashirikiana na TFF na sio Simba tena?😁 tukubalini ukweli mechi ya Simba na Yanga , Tanga yetu kacheza mpira mzuri Sana msitafute mchawi au mtu wa kumuangushia lawama.
 
Ila yanga mnapenda kulalamika sana yule takadini kawalemaza vibaya sana.
 
Wakati Yanga wanacheza mechi tatu mfululizo Dar mbona mlikua kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…