ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Huko kwenye malalamiko Yanga tusha ondoka zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia jeraha lipone nyuzi bado hazijashika vizuriAndikeni barua mjitoe kwenye ligi kuu au CAF, chagueni wenyewe.
Genta Cognizant mbilikimo king'ang'anizi
Umepigwa bao tano [emoji2936][emoji2772] tuliaTimu la dunia linaloweza kufunga hadi 'Reale Madiiridiii' linalia lia kuelekea Mkwakwani. Seriously?
Sasa hivi tutawakanda 7 hamna adabu nyieUtopolo ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao ni kulalamika lalamika ili wapate wepesi. Hawafuati taratibu ... uwanjani wanajiingilila watakavyo, na wanavyoamua, wanachimba mashimo uwanjani na kufukia fukia matakataka yao, nk
1. Diarra
2. Yao
3. Kibwana
4. Bacca ndio maana kwenye derby alitoka kabla ya 90'
5. Mwamnyeto
6. Mkude/mauya na baadae ataingia mdathiri ili kutengeneza double pivot na aucho
7. Moloko
8. Aucho
9. Msonda
10. Aziz ki
11. Max zengeli.
Hapa tunashinda mbili.
Kikubwa twende na nidhamu, morali na mbinu sahihi za master
Huo ubavu wanao sasa? Kelele tu, eti 'sisi timu kuba' levo ya Mamelodi. Labda Mama ready.Nyie si mamelodi bana...mna kosi kuubwaaa....chezesheni wale ambao hawakucheza ili wengine wapumzike...
Na Yanga tulivo watu wabad ni kutembeza mboko tu mechi zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo
Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023
Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.
HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya
TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
Hata kidonda hakijakauka umekimbilia hukuHuo ubavu wanao sasa? Kelele tu, eti 'sisi timu kuba' levo ya Mamelodi. Labda Mama ready.
Ila yanga mnapenda kulalamika sana yule takadini kawalemaza vibaya sana.Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo
Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023
Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.
HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya
TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
Wakati Yanga wanacheza mechi tatu mfululizo Dar mbona mlikua kimyaSilaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo
Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023
Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.
HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya
TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
Hi 5Andikeni barua mjitoe kwenye ligi kuu au CAF, chagueni wenyewe.