Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia.
Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya maadili ikiwafungia fungia watu ovyo. ,Eti sijui watu wamekorofishana viwanjani au bar kesho unasikia barua sijui unaenda kuhojiwa na kufungiwa.
Kuwa rais wa tff ni pale ofisini kwako ,lakini sio tukutane buguruni malapa anizingue nikaushe kisa yy ni rais wa tff hiyo haipo,.
Manara na karia wamezinguana uwanjani sio ofisini ni SAWA wangepigana bar au Kwa sababu ya ulevi au wnagombea Malaya huwezi kuamka asubuhi unamuita Mmoja akahojiwe na mwingine unamuacha. ,afu unamhukimu Mmoja na mwingine una muachaje?
Waligombana wawili mbona Mmoja hajahojiwa? Kwani yeye hakutukana? Kwani yy hakuwa sehemu ya mzozo? Haya Sasa wameitwa Tena kuhojiwa rais wa yanga na manara.
Tayari Kuna jambo linaenda kutokea. Nawaombeni Wanayanga nchi nzima awamu hii msikubali adhabu za kipuuzi ,wakijichanganya na nyinyi muwachanganye, wakikurupuka na nyinyi muwakurupushe, msikubali unyonge hata kidogo.