Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tifutifu wamesema wamerogwa.Elie elewa anieleweshe
Kuna timu nyingi sana ligi kuu zinadhaminiwa na betting company,sijui itakuajewapumbavu Simba inadhaminiwa na Betway, Yanga Sportpesa na timu nyingine zina wadhamini wa makampuni ya betting TFF siyo mwendeshaji wa ligi bali ni bodi ya ligi ila kwa ujinga wa hivi vilabu hilo litawezekana