Iseee ushamba muda mwingine ni mzigo sana..walipaswa kutetea haki yaoMwenyewe niliwaza kama ingekuwa waarabu hilo patashika la kushinikiza VAR jinsi lingekuwa!
Lazima lingezaa hata kadi mbili za njano,akina Mkude jana wanang'aa sharubu tu pale.
Hao TFF wangekuwa na msaada na Yanga wasingepanga mechi ya Azam na Yanga tarehe 17. Niliongea mapema sana humu jukwaani. TFF na Bodi ya Ligi wapo kimkakati zaidi katika upangaji wa ratibanimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.
kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.
video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30
View attachment 2955494
Huwezi kuitwa Mwakarobo Kwa robo fainali moja. Tafuta chanzo cha anayeitwa Mwakarobo kilianza lini!!Mwakarobo Jr mmekufa kike. [emoji38][emoji23]
Mwakarobo Jr ni yule aliyekomea robo fainali za CAFCL zaidi ya miaka mitano mfululizo [emoji28]Mwakarobo Jr mmekufa kike. [emoji38][emoji23]
Hata mimi nilishangaa watu walivyokuwa wametulia🤣🤣🤣Mwenyewe niliwaza kama ingekuwa waarabu hilo patashika la kushinikiza VAR jinsi lingekuwa!
Lazima lingezaa hata kadi mbili za njano,akina Mkude jana wanang'aa sharubu tu pale.
Yanga ingefunga na kushinda baadae wangedai hili goli?
Timu zote baadae zilipata equal opportunity (penalty kick) ambayo ingeamua yoyote apite wachezaji wa Yanga walishindwa kujisahihisha mwisho wa siku timu imetolewa.
Duhhh! Samahani mkuu, hapa umeishirikisha brain kweli? Yaani umewaza ukawazua ndo ukaja na hiki?Yanga ingefunga na kushinda baadae wangedai hili goli?
Timu zote baadae zilipata equal opportunity (penalty kick) ambayo ingeamua yoyote apite wachezaji wa Yanga walishindwa kujisahihisha mwisho wa siku timu imetolewa.
Refa angekubali goli, tungefika kwenye hizo penati?Yanga ingefunga na kushinda baadae wangedai hili goli?
Timu zote baadae zilipata equal opportunity (penalty kick) ambayo ingeamua yoyote apite wachezaji wa Yanga walishindwa kujisahihisha mwisho wa siku timu imetolewa.
Kama lingekataliwa kama awali mngefunga la pili mngedai hili?Refa angekubali goli, tungefika kwenye hizo penati?
Jibu hapo kwanza, maana umetumia ..inge...ya pili umeiruka ange..... ya kwanza