TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

Wewe ni Simba nakuona tu unacomment thread za Yanga.

Thread za simba huendi, Alafu comment yako swali ni Moja tu [emoji1787] poleee kolooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja nitafute swali la pili pia
 
Kwa hiyo sasa mnataka mechi irudiwe kisa mlinyimwa kona? Kesho mtarudi tena kutaka mechi irudiwe au mpewe ushindi wa mezani kisa hamkupewa mpira wa kurushwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Refaa aliduwaa ikizingatia Mmaelody walipaswa kupitwa halafu akaona kama vile kibao kinataka kujeukaa....
 
Lile shuti la azizi liliwachanganya kuanzia kipa refa wa pembeni refa wa Kati makamisaa ofisi ya var ofisi ya caf wote walikuwa wameduwaa hawajui la kufanya.
 
Yaani pale yule mwamuzi tayari alishakuwa amechanganyikiwa. Muda ule akikini mwake vitu vingi vilikuwa vinapitia kichwani mwake. Unajua uwizi au dhambi yoyote kubwa lazima imchanganye. Ndio maana wanakuambia ukiua mtu,ile damu tu inakuchanganya unaweza kuanza kuropoka tu . Pale alihama kabisa kiutendaji kwa ile dhambi
 
Uliangali kupitia TV gani mkuu chogo au flati TV au Una matatizo ya macho?
Kama ni ivyo pole baada ya kugonga Mwambia ule mpira ukadunda chini na kurudi juu beki wa mamelody akapiga kichwa mpira ukaelekea pembeni na kipa wa mamelody aka udaka 🆗 rude Ka review utaona
 

Hapana, ukiangalia Kwa umakini ule mpira uliingia lakini kwenye kutua umepiga kwenye mstari, CAF hawana goal line technology na sheria zao zinataka mpira uwe umevuka mstari Kwa 100% na sio kugusa mstari.
 
Tff walishindwa kusaidia Kagera walipokataliwa goli halali, walishindwa kusaidia Azam walipofungwa baada ya mpira kutoka nje, walishindwa kusaidia Kona goli halafu Leo. Mnataka wakasaidie yanga fifa.
 
Nakukumbusha tu timu yenu ni kongwe yenye miaka zaidi ya 80. Kwa hiyo kuwa na robo fainal moja ambayo haikufanyi uitwe mwakarobo , ukitumia akili yako vizuri huwezi kujivunia kwa hilo.
Madunduka reasoning zenu ni very poor, RAGE azidi kuheshimiwa.
Ndio timu zina miaka zaidi ya 80, vipi na mashindano nayo yanaikaribia hiyo miaka?
 
Utopolo acheni Mikwala.... Pelekeni basi iyo barua.....!

Ili CAF iwashukie Kama Mwewe kwa Kuwasingizia Wamefanya match fixing...!

Huyo Mwanasheria wenu aliyeshindwa hata na BM3 ndo mnamtegemea anawachuuza....!

Tunasubiri kusikia Rungu litakalo Waangukia, AFL mtaisikia Kwenye Bomba kudaaadek..!

Mashabiki wenu kwanza huwa watia aibu kwa kupenda kuingizwa bure viwanjani..!
 
Huu ugonjwa wa goliphobia uje uwatoke yanga nimpaka kizazi chapili
 
Madunduka reasoning zenu ni very poor, RAGE azidi kuheshimiwa.
Ndio timu zina miaka zaidi ya 80, vipi na mashindano nayo yanaikaribia hiyo miaka?
We kweli utopolo, hapo unajiona eti una hoja. Kwanza ujue timu lenu kongwe lenye miaka 80 kabla hii robo ya juzi ilikuwa imeshiriki makundi mwaka 1998 .Yaani zaidi ya miaka 20 iliyofuatana uto haikuingia makundi. Hayo mashindano yana miaka karibu 60 tangu kuanzishwa kwake.

Ni mwendawazimu tu ataicheka timu iliyokuwa inaishia robo fainal wakati timu lake likiishia hatua za awali.
 
Hapana, ukiangalia Kwa umakini ule mpira uliingia lakini kwenye kutua umepiga kwenye mstari, CAF hawana goal line technology na sheria zao zinataka mpira uwe umevuka mstari Kwa 100% na sio kugusa mstari.
Peke yako ndio uliebakia kupindisha ukweli. Hata kama ni ushabiki usikufanye ukajilamisha uwe kipofu. Lile goal halihitaji hata VAR. Hata lilivyoingia tu tayari likaandikwa goal.

Kuna methali ya zamani inasema Mbisha wengi ni..........
 
Bado Unaota tu.

Hakuna goli kama lile.

Halijawahi kutokea labda iwe Dhuruma.
 
Unaona sasa unavyothibitisha nilichokisema?
Miaka 60 imetokea wapi wakati mashindano haya yenye mfumo huu yameanza 1998, au kama unataka kuhusisha na mfumo wa zamani basi YANGA ni wa mwanzo kufika robo FAINALI kabla ya Simba kupiga hatua zaidi na kufika NUSU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…