TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu.

Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Julai 3 walidhibitiwa.

Bashe alisema waamuzi wangekuwa hawajadhibitiwa wangetoa adhabu ya penati dhidi ya Yanga. Kauli hiyo imeonekana kuchochea vurugu badala ya amani kutoka kwa kiongozi huyo.

1625480821081.png
 
Kwani ni uongo
Kwani Bashe ndo wa kwanza kutoa kauli hizo, au kwasababu ni shabiki wa Yanga, mbona kauli kama hizi wameandika sana zitto kabwe, kigwangala, mwanaFA na wengine wengi, kwann aonekane yeye

Hawa TFF wasikurupuke?

Kwanza adhabu ya Yanga kuingia mlango usioruhusiwa in wapi?

Ingekua yanga kanyimwa penalty mbili kungetosha? Au leo mwamuzi angekua kafungiwa miezi miezi 3?
 
Hawa TFF wasikurupuke?
Kwanza adhabu ya Yanga kuingia mlango usioruhusiwa i wapi?
Ingekua yanga kanyimwa penalty mbili kungetosha? Au leo mwamuzi angekua kafungiwa miezi miezi 3?
Kuwa hakimu Tanzania ni kazi kweli kweli.
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu.

Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Julai 3 walidhibitiwa.

Bashe alisema waamuzi wangekuwa hawajadhibitiwa wangetoa adhabu ya penati dhidi ya Yanga. Kauli hiyo imeonekana kuchochea vurugu badala ya amani kutoka kwa kiongozi huyo.

Hiyo mbona sahihi sanaa tu....shida waamuzi hufuata rushwa sijui..penati zilikuwa wazi 2
 
Haha basi basi msihuzunike watani tufanye nyie mmeshinda tano, sisi tumetoka na nunge. mfurahi nyie
 
Hakukuwa na penati yoyote kwenye ile mechi tatizo watu hawajui sheria ni ushabiki tu ndio inawasumbua.
 
Unayejua sheria umejawa na upofu wa mapenzi .mbona ingekuwa kidimbwiiii ila sijui
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameonyesha kukerwa na matukio ya Simba kunyimwa mikwaju miwili ya penati ya dhahiri katika mchezo dhidi ya ..
Soma zaidi hapa : Penati za Morrison zamkera Mo
 
Walishindwa kusikitika kwa kauli za manara kwa mwandishi wa habari...TFF ni simba hilo linafahamika
 
Hawa TFF wasikurupuke?

Kwanza adhabu ya Yanga kuingia mlango usioruhusiwa in wapi?

Ingekua yanga kanyimwa penalty mbili kungetosha? Au leo mwamuzi angekua kafungiwa miezi miezi 3?
Mbona ya Yanga na uwezekano wa redcard kwa Bocco haizjngumzwi
 
Back
Top Bottom