Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwani ni uongo
Kwani Bashe ndo wa kwanza kutoa kauli hizo, au kwasababu ni shabiki wa Yanga, mbona kauli kama hizi wameandika sana zitto kabwe, kigwangala, mwanaFA na wengine wengi, kwann aonekane yeye
Kuwa hakimu Tanzania ni kazi kweli kweli.Hawa TFF wasikurupuke?
Kwanza adhabu ya Yanga kuingia mlango usioruhusiwa i wapi?
Ingekua yanga kanyimwa penalty mbili kungetosha? Au leo mwamuzi angekua kafungiwa miezi miezi 3?
Hiyo mbona sahihi sanaa tu....shida waamuzi hufuata rushwa sijui..penati zilikuwa wazi 2Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu.
Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Julai 3 walidhibitiwa.
Bashe alisema waamuzi wangekuwa hawajadhibitiwa wangetoa adhabu ya penati dhidi ya Yanga. Kauli hiyo imeonekana kuchochea vurugu badala ya amani kutoka kwa kiongozi huyo.
Mbona ya Yanga na uwezekano wa redcard kwa Bocco haizjngumzwiHawa TFF wasikurupuke?
Kwanza adhabu ya Yanga kuingia mlango usioruhusiwa in wapi?
Ingekua yanga kanyimwa penalty mbili kungetosha? Au leo mwamuzi angekua kafungiwa miezi miezi 3?