TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

Kwani kaongea kama waziri au shabiki? Mkanyeni mzee wa kigoma kwanza mwenye watu "wakubwa"polisi!
 
TFF inaingilia uhuru wa watu kutoa maoni yao. Ata Raisi angetoa maoni yake hayawezi kubadili matokeo au kuleta chuki. Mpira ni mchezo kama drafti au kombolelea au bao, siyo kitu serious ki hivyo.
 
Maoni na mawazo ya watu hayana shida yoyote...
 
Wa kidimbwi walalamishi ila Simba hatuna habaree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…