TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

Kinachotakiwa ni mpira watu washinde kwa kushindana sio mbeleko fc mpaka aibu bajeti bilioni mnanunua mechi kwa timu zisizo mudu hata mpo mmoja!
Nyie si mliweka kikao kuwasema mawaziri, marefa, mke wa kiongozi wa TFF pamoja na GSM. Sasa kaeni kwa kutulia hapo marefa wameingia mchezoni. Derby ijayo mawaziri watakuwa mchezoni mtakubali
 
Ukisoma coment za wanautopolo wanafurahia sana huu ubebwaji wao,wantamani kila mechi iwe hivi,hersi na gsm wanaharibu sana ligi yetu,wamekuwa wapolaji wa haki ili tu waonekane ni bora,klabu bingwa hio inakuja mtapigwa nje ndani sana
 
Linesman leo na refa wake wamezingua,kuna moves kama mbili hiv za coastal wameziua kwa kuonesha kuwa ni offside na hazikuwa offside
Mbumbumbu mlikuwa mkikenua tu meno Yanga ilipokuwa ikinyang'anywa magoli ya wazi kuwa ni offsides Enzi za Mayele, kumbe kulia ni kupokezana?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ukisoma coment za wanautopolo wanafurahia sana huu ubebwaji wao,wantamani kila mechi iwe hivi,hersi na gsm wanaharibu sana ligi yetu,wamekuwa wapolaji wa haki ili tu waonekane ni bora,klabu bingwa hio inakuja mtapigwa nje ndani sana
Kwani tulivyofika final cafcc na robo final ilikuwa Yanga gani?
 
Kuna mchezaji wa Yanga alishika mpira ndani 18 refa akapeta,ilikuwa tuta
Ile Ya Pacome Dakika ya 84+ ikazaa kona badala iwekwe Tuta ulikuwa ushatoka Banda umiza

Shida Mpira wa Bongo ukiwa mnyonge tu unaanza Propaganda sijui unaonewa sijui mara marefa oooh GSM ana timu zote ameweka mpunga!!

Haya hata Yanga alipitia sana miaka mi5/4 nyuma hadi akaaambiwa asuse kama anataka
 
Itafungwaje kwa mpango huu hata akitoa mpira mudhathiri wanapewa faida yanga akishika bacca inakuwa faida off side faida inakuwa yanga!
Makosa ya waamuzi wa Tanzania yapo Kila mahali na Kila Mechi. Karudie Mechi ya Simba na Namungo Chasambi anatoà Mpira anashangaa anapewa Kona yeye. Kagere anakuwa Offside x2 wakati Yuko on side. Sema umechagua upande ili upage Faraja.
 
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Yanga Bingwa, wanaThiiimbaa 5imba Guvu Moya mlikula kono la nyani.
 
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Mbumbumbu auna ata aibu ya kubwata hapa dhidi ya marefa, wewe umepewa point ngapi na hao marefa, wasingekuwa hao ungekuwa nafasi ya ngapi kwa sasa? Ubaya ubwela ukifanyiwa wewe unatoa milio ya Kila aina lakini ukiwafanyia wenzako ni freshi tu sio? Acha upuuzi wenu ni Bora mkachutama mnajiaibisha!
 
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Yule msomali ni mafia alimwambia professor nabi mafanikio ya yanga haya unayoyaona sio kwasababu wewe ni kocha mzuri tunajua wenyewe tunashindaje ndio maana nabi licha ya mafanikio kwenye Caf confederation cup aliamua kuondoka kwasababu za jeuri za viongozi wa yanga zinazosababishwa na marefa.
 
tangu lini msomali akaipenda yanga

nenda kafatilie mahojiano yake, mechi ya ngao yanga na costal upate majibu
 
Ukisoma coment za wanautopolo wanafurahia sana huu ubebwaji wao,wantamani kila mechi iwe hivi,hersi na gsm wanaharibu sana ligi yetu,wamekuwa wapolaji wa haki ili tu waonekane ni bora,klabu bingwa hio inakuja mtapigwa nje ndani sana
Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Back
Top Bottom