TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

Yule msomali ni mafia alimwambia professor nabi mafanikio ya yanga haya unayoyaona sio kwasababu wewe ni kocha mzuri tunajua wenyewe tunashindaje ndio maana nabi licha ya mafanikio kwenye Caf confederation cup aliamua kuondoka kwasababu za jeuri za viongozi wa yanga zinazosababishwa na marefa.
Yanga Bingwaaaaa
 
IMG_0177.jpeg
 
Nyie si mliweka kikao kuwasema mawaziri, marefa, mke wa kiongozi wa TFF pamoja na GSM. Sasa kaeni kwa kutulia hapo marefa wameingia mchezoni. Derby ijayo mawaziri watakuwa mchezoni mtakubali
NIshatulia najikita kuangalia ball la kweli ulaya hayo mavi ya kijani ya kunuka na marefa wa kuchukua bahasha za GSM bakini wenyewe!
 
Ni furaha kubwa sana kuona Kolos mkiteseka namna hii
Kwanza mimi sio kolo kama ulivyo dhani tatu nateseka kweli kuona timu zinatumia gharama kubwa kuandaa malazi na usafiri kusajili mwisho wa siku GSM kesha andaa mshindi ya nini kufanya usajili wa mabilioni ili hali hata akikuchukua wewe utashinda tu game!
 
Kwani nyie mlipocheza nao kocha si alimaliza mpira mkiwa mnaenda kufungwa goli la tatu?
Kwani sheria inasemaje kuhusu refa kumaliza mpira pale muda unapokua umeisha?.Tukijua sheria inasemaje nfo tutajua je refa alikosea au alikua sawa.
 
Kwanza mimi sio kolo kama ulivyo dhani tatu nateseka kweli kuona timu zinatumia gharama kubwa kuandaa malazi na usafiri kusajili mwisho wa siku GSM kesha andaa mshindi ya nini kufanya usajili wa mabilioni ili hali hata akikuchukua wewe utashinda tu game!
Kama rahisi hivyo basi Azam angekuwa Bingwa miaka yote.
 
Zamalek na al ahly pamoja ya kuwa na VAR ila ilileta utata mpaka wengine wamefungiwa saizi kwa kuhamasisha kugomea mechi

Hii unasemaje?
 
Zamalek na al ahly pamoja ya kuwa na VAR ila ilileta utata mpaka wengine wamefungiwa saizi kwa kuhamasisha kugomea mechi

Hii unasemaje?
Mechi moja sasa takribani mechi tatu zote faida kwa timu moja aaah jiangalie!
 
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,

Mechi ya leo coastal dhidi ya Yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni

Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa TFF kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Ulitakiwa bandiko lako,lingeanza kulalamika gemu ya Dodoma Jiji,Azam zote hizo dhidi dhi Yao simba
 
Back
Top Bottom