TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

Yanga Bingwaaaaa
 
Nyie si mliweka kikao kuwasema mawaziri, marefa, mke wa kiongozi wa TFF pamoja na GSM. Sasa kaeni kwa kutulia hapo marefa wameingia mchezoni. Derby ijayo mawaziri watakuwa mchezoni mtakubali
NIshatulia najikita kuangalia ball la kweli ulaya hayo mavi ya kijani ya kunuka na marefa wa kuchukua bahasha za GSM bakini wenyewe!
 
Ni furaha kubwa sana kuona Kolos mkiteseka namna hii
Kwanza mimi sio kolo kama ulivyo dhani tatu nateseka kweli kuona timu zinatumia gharama kubwa kuandaa malazi na usafiri kusajili mwisho wa siku GSM kesha andaa mshindi ya nini kufanya usajili wa mabilioni ili hali hata akikuchukua wewe utashinda tu game!
 
Kwani nyie mlipocheza nao kocha si alimaliza mpira mkiwa mnaenda kufungwa goli la tatu?
Kwani sheria inasemaje kuhusu refa kumaliza mpira pale muda unapokua umeisha?.Tukijua sheria inasemaje nfo tutajua je refa alikosea au alikua sawa.
 
Kama rahisi hivyo basi Azam angekuwa Bingwa miaka yote.
 
Zamalek na al ahly pamoja ya kuwa na VAR ila ilileta utata mpaka wengine wamefungiwa saizi kwa kuhamasisha kugomea mechi

Hii unasemaje?
 
Zamalek na al ahly pamoja ya kuwa na VAR ila ilileta utata mpaka wengine wamefungiwa saizi kwa kuhamasisha kugomea mechi

Hii unasemaje?
Mechi moja sasa takribani mechi tatu zote faida kwa timu moja aaah jiangalie!
 
Ulitakiwa bandiko lako,lingeanza kulalamika gemu ya Dodoma Jiji,Azam zote hizo dhidi dhi Yao simba
 
Ulitakiwa bandiko lako,lingeanza kulalamika gemu ya Dodoma Jiji,Azam zote hizo dhidi dhi Yao simba
Nimeandika mpira wa bongo unatia kinyaa hivyo inawakilisha zote ila uto wamezidi kununua game!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…