Inamedokezwa kua SANDA watapigwa 8 kwa mujibu wa mtabiri kutoka hapa KATUMBAAcha tuwakande hiyo tar 8 hadi warudi kwao wanachechemea
Hahahahaha, haya mkuuUsiogope mkuu, sijataja timu
Akna Nan mkuu??Acha tuwakande hiyo tar 8 hadi warudi kwao wanachechemea
Naona Yanga mnaichukulia poa sana Simba, sijajua nini kinawapa jeuriNgoja tuwatie adabu makolo.
CC KalpanaWe....simba kuna huyo chasambi anafunga hadi akiwa benchi
SANDA FCAkna Nan mkuu??
Toka Ashura cheupe arejee kuwa msemaji mmepata comfidence sana nyie batiki fcSANDA FC
Tarehe 8 mtaleta timu uwanjani?Toka Ashura cheupe arejee kuwa msemaji mmepata comfidence sana nyie batiki fc
Kwanini isije?? Vipi mmemwaga sumu uwanjani?
Endeleeni kuota...
Tatizo letu Yanga fans tunauamini sana utabiri wa Haji, halafu tukipigwa tunamlaumu Manara 🤣🤣Hata kama mpra wa miguu hautabiriki, ila derby ya msimu huu inatabirika vizuri tu
Acha uogaaa vita ni vitaaaa muraaaa.Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024,
Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc
Nb. sijataja timu.
Ndoto huwa zinatimia ujuwe mtani..!!Endeleeni kuota...