TFF Watumie busara kuahirisha mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga

TFF Watumie busara kuahirisha mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga

Nilichogundua mashabiki wengi wa Yanga hapa JF ni watoto ... Hawajui kuwa Yanga ndani ya dakika 26 walipigwa goli tano na Simba SC.

Ne, wajua vipigo mfululizo vilifanya Kilimanjaro beer 🍺 kuondoa mashindano ya nani mtani jembe, hii ni baada ya Yanga kufungwa na Simba SC kila mechj?
 
Zimebaki siku chache tushuhudie burudani
 
Halafu nani kawadanya nyie msio na akili kuona kuwa mtaifunga Simba?? Nimegundua vi shabiki vingi vya gongowazi ni vitoto vya Afu 2000 ...vikilishwa jambo ni kutapika kila uzi..trh8 trh 8 tuliwafunga trh 5 trh 8 tutawafunga...hebu ficheni upumbavu wenu...
 
Kwanini isije?? Vipi mmemwaga sumu uwanjani?
Kuogopa kipigo

1722326081268.png
 
Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024,

Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc

Nb. sijataja timu.
Acha uogaaa vita ni vitaaaa muraaaa.
 
Back
Top Bottom