NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
TFF wazembe saa nne usiku wanakubali vp??? Yaani ujinga mtupuKwa muda huu.....full house Kwa mkapa is inevitable
Kelele zipi mkuu?Acheni kelele
Sio kweli , CAF ndo wamepanga.Inawezekana ndiyo muda tuliotaka sisi ili wachezaji wapate muda zaidi wa kupumzika maana wametoka tu kucheza game na Niger. Nadhani ndiyo sababu kubwa. Sidhani kama kujaza uwanja ni kipaumbele sana kwetu.
Ahahaa mkuu . hutaki kuwa mzalendo kwa mchi yako?Hata hivo hamna timu ya kwenda kuangalia hapo, nitaenda labda nikiwa nimelewa
Saa 2 muda rafiki kiasi.At least sa 2
Utakuja kulishwa mavi kisa uzalendoAhahaa mkuu . hutaki kuwa mzalendo kwa mchi yako?
Kwamba Karia , kiinglishi hakipandi vizuri πππkubishana kwa kiingereza ndio shida wanaona bora yaishe wakubali tu
kinatoka wapiKwamba Karia , kiinglishi hakipandi vizuri πππ
Hii mechi ingekuwa mchana tungepata hata drooo, ila usiku tunakandwaa π π πUtakuja kulishwa mavi kisa uzalendo
Ras simba si yupo wangemtumia πππkinatoka wapi
tena kiwe cha kujenga hoja
ndo maana wanakubal bila kipingamizi
Ninavyojua mimi CAF wanampa timu mwenyeji options za muda, unachofanya ni kuchagua muda huo na kuwataarifu. Kuchezwa masaa ya mbele kumewapa wachezaji wa TZ masaa kadhaa zaidi ya kupumzika ingawa nadhani kibaridi cha usiku wa saa 4 ni faida zaidi kwa Morocco.Sio kweli , CAF ndo wamepanga.
Mkuu hata mchana tungefungwa tu,waarabu kama Misri, Algeria na Morocco ni wagumu kwetu ,wanacheza kiakili mnoHii mechi ingekuwa mchana tungepata hata drooo, ila usiku tunakandwaa π π π