TFF wazembe wanakubali CAF kupangia muda mbovu

TFF wazembe wanakubali CAF kupangia muda mbovu

Hii mechi ingekuwa ya Simba au Yanga ningeangalia kwa umakini.

Hii ya Taifa stars sahizi nimekaa kwenye sofa kichwa chini miguu ukutani sina presha naangalia tu ili kujua vituko vinavyoendelea
 
Kama mnakata mbali laleni uwanjani, nakuja hapo kuangalia mechi saiz
 
Hata mimi nimeshangaa sana! Saa 4 usiku kwa sababu zipi? Maana ingekuwa labda timu zote zinatakiwa kucheza muda sawa ili kuepusha kupanga matokeo; sawa!!

TFF ya Karia ni hopeless kabisa.
 
Back
Top Bottom