TFF ya sasa tustarajie mabadiliko ya soka

TFF ya sasa tustarajie mabadiliko ya soka

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
1.imekoswa mdhamini ligi Kuu Timu zina suffer
2.Kufungia watu Maisha wasishiriki soka (fitina na visas)
3. Kuendekeza migogoro (wambura)
4. Kukosa mipango thabiti ya kukuendeleza soka.
5. Kuendekeza usimba uyanga
Watu walitamani Sana Malinzi Amalize muda wake lakini Rais huyu wa sasa tusitegemee chochote tena makamu wake wambura hahaaaaaaaa Tanzania no soka
 
Wale waliozea timu zao kubebwa ndio wanalaumu TFF ya sasa.
Wanamkumbuka Malinzi kwani kila sheria ilipindwa ili timu yao pendwa ishinde.
 
Sijawahi ona mwenyekiti wa tff mpumbavu kama uyu Karia

Yani yupo yupo kama tahira mzee

Ana visasi vya kishamba sana

Kwanzakumchagua uyu zwazwa atuongoze?
Tuwalaumu wapiga kura
Hata hajielewi tatizo anaendeshwa sana Hana msimamo hajui kuongea ngoja wambura atamtengua kiuno vilabu vina suffer fikilia yanga yenye mashabiki wengi wana suffer je zingine hzo
 
Wale waliozea timu zao kubebwa ndio wanalaumu TFF ya sasa.
Wanamkumbuka Malinzi kwani kila sheria ilipindwa ili timu yao pendwa ishinde.
Lumumba hadi huku mpo! Kwahiyo hao walikua wapiga dili sio?

Wambura anamiliki timu hadi useme timu yake ilipenda kubebwa, je vipi kuhusu wadhamini wa ligi msimu huu?

Umesahau mgogoro unaoendelea Morogoro?

Tz ya visasi na cheap point kama zenu hizi jiandaeni sisi kuwazalishia wajukuu wenu tu.
 
Tenga ni Rais ambaye pamoja na mapungufu yake lakini alijitahidi sana, hatukusikia malalamiko mengi.

Ila wengine wote tabu tupu.
 
Waangalie matumbo yao sawa lakini wasisahau kilichowaweka pale.
 
Sijawahi ona mwenyekiti wa tff mpumbavu kama uyu Karia

Yani yupo yupo kama tahira mzee

Ana visasi vya kishamba sana

Kwanzakumchagua uyu zwazwa atuongoze?
Tuwalaumu wapiga kura
Msomari huyo ndugu yangu. Ndio maana hakuna anachojali nakuambia. Nchi ya mazwazwa hii, kila mara tunachugua wakimbizi ndio watuongoze.
 
Tenga ndiye aliyevutia wadhamini wengi zaidi kuanza kuwekeza kwenye ligi

Nakumbuka hata azam alisaini mikataba yeye
Ila huyu msomali anatuvurugia mpira tu
Tenga ni Rais ambaye pamoja na mapungufu yake lakini alijitahidi sana, hatukusikia malalamiko mengi.

Ila wengine wote tabu tupu.
 
Watanzania sisi wajinga sana inawezekanaje watu kumpigia kura msomali? +uyo karia sidhani kama mzalendo kweli
Msomari huyo ndugu yangu. Ndio maana hakuna anachojali nakuambia. Nchi ya mazwazwa hii, kila mara tunachugua wakimbizi ndio watuongoze.
 
Tenga ndiye aliyevutia wadhamini wengi zaidi kuanza kuwekeza kwenye ligi

Nakumbuka hata azam alisaini mikataba yeye
Ila huyu msomali anatuvurugia mpira tu

Tenga nakumbuka ni moja ya watu walisababisha nikawa nakunymahudhurio wa Serengeti - Chui chui kuipa sapoti Taiga Stars, na mpaka uwanjani mahudhurio yangu kwa Taiga Stars yalikuwa mazuri sana.

Baada ya hapo hata morali imeisha, na hii ya sasa hivi ndo mbovu zaidi. Ugomvi kila siku, kina Nyamlani na fitna zao wanatuharibia mpira.
 
Bora hata Malinzi na U yanga wake angalau alikua na vitu vinaeleweka, hili jamaa ni kama saa mbovu kabisa.
 
Wale waliozea timu zao kubebwa ndio wanalaumu TFF ya sasa.
Wanamkumbuka Malinzi kwani kila sheria ilipindwa ili timu yao pendwa ishinde.
Hahaha zile Sheria za kuchagua match za kucheza kuhusu Kadi ya njano?
 
Huyu msomali n miongon mwa marais hovyo kuwahi kutokea katika shirikisho letu LA Mpira Hivi lile baraza linalo simamia michezo halimuoni
 
1.imekoswa mdhamini ligi Kuu Timu zina suffer
2.Kufungia watu Maisha wasishiriki soka (fitina na visas)
3. Kuendekeza migogoro (wambura)
4. Kukosa mipango thabiti ya kukuendeleza soka.
5. Kuendekeza usimba uyanga
Watu walitamani Sana Malinzi Amalize muda wake lakini Rais huyu wa sasa tusitegemee chochote tena makamu wake wambura hahaaaaaaaa Tanzania no soka
TFF tumempa Alshabab Msomali Karia. Tusubiri maumivu tu. Kila kitu ni kufungia maisha.
Mbaya zaidi Katibu Mkuu ni Mrundi. Bongo tumelogwa sio bure.
Kamati ya kufungia watu maisha Kiongozi ni gaidi Mbwelezeni, Mpemba. Kazi tunayo.
 
Back
Top Bottom