TFF yaachana na Kim Poulsen

Onyesha swali nililoulizwa nikaacha kujibu. Kama FAT hakukuwapo soka la wanawake Tanzania wakati duniani lilikuwapo, sasa huo ndio uimara na uchapakazi wa Karia maana amelianzisha kwa mafanikio makubwa
Usihangaike nae mkuu jina lenyewe Kitimoto hapo inategemea nini ?
 
Uongozi wa Karia haya yametokea:

Taifa Stars AFCON 2019
Taifa Stars CHAN 2021
Timu ya Vijana U19 AFCON 2019
Timu ya Wanawake U17 Kombe la Dunia 2022
Timu ya Walemavu Kombe la Dunia 2021
------------------------------------------
------------------------------------------
Klabu ya Simba Robo Fainali CAF CL 2020/2021
Klabu ya Simba Robo Fainali CAF CL 2018/2019
Klabu ya Simba Robo Fainali CAF CC 2021/2022
Klabu ya Namungo FC makundi CAF CC 2020/2021
 
Kumfukuza kocha ni kutafuta wa kumuangushia zigo la lawama.

Striker mpole anae cheza ku"shua" pembeni yake kibu denis asiyejua wapi atumie akili wapi atumie nguvu.

Tubaki kupata burudani kwa vilabu vyetu tu ila stars bado sana.
 
Uzi uishie hapa.
Malizia na raisi mwenyewe aondoke
 
Kumfukuza kocha ni kutafuta wa kumuangushia zigo la lawama.

Striker mpole anae cheza ku"shua" pembeni yake kibu denis asiyejua wapi atumie akili wapi atumie nguvu.

Tubaki kupata burudani kwa vilabu vyetu tu ila stars bado sana.
Huyu kibu denis ndio tumepotea kabisaaaa....hamna kitu kabisakwanza sub yake ilichelewa ndani ya daki 25 ningetoa
 
Afadhali mimi binafsi sikuwahi kumkubali huyu kocha
 
Uzi uishie hapa.
Malizia na raisi mwenyewe aondoke
Hawa awaondoki wenyewe mpaka system iwe imewachoka ndio inawaondoa.

Mimi ni MwanaCCM ila ikipigwa kura leo hii siipi CCM kura na wala sitopiga kura sababu ya huyu Msomali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karia atakutesa hadi ufe kihoro, na badoo, poleeeeeeeh
 
Tff ndio wameharibu soka la timu ya taifa kwa kuruhusu ligi kutawaliwa na wageni na wazawa wanapigwa benchi kwenye club zao viwango vinashuka.

Tatizo sio wageni wengi.. tatizo wageni wengi kiwango kidogo...EPL Kama unatoka nje ya top 70.. kupata leseni sio kitu rahisi..na Kama huchezei national team ndo kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karia atakutesa hadi ufe kihoro, na badoo, poleeeeeeeh
Jikite kwenye hoja. Acha mipasho. Kuna sehemu nimemtaja huyo msomali wako! Halafu ananitesa kwa lipi sasa?
 
Kufungwa kwa Starz kuna sababu nyingi..

- Morali ya timu naona imeshuka sana, siku hizi starz haina mvuto kabisa ikicheza hata hamu ya kutazama sina.
Kwa hiyo Stars imefungwa kwa kuwa wewe hauna hamu ya kuitazama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…