TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253

Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.

Kichekesho hicho kimetolewa leo, ikiwa ni siku moja baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kufanya juhudi za Rais wa TFF, Jamal Malinzi afanyiwe usaili licha ya kuwa mahabusu.

Credit: Salehe Jembe
 

Wana amini kbsa, sitaka la ML litafutika jumatatu?? That guy is in keko to stay....
 
Ovyo kabisa, kwa nini wasitishe mchakato wa uchaguzi! Ni dhahiri lengo ni Malinzi ashiriki katika uchaguzi huu! Soka la nchi hii ni vigumu sana kuendelea! Sioni sababu ya kusitisha zoezi la uchaguzi wa TFF. Naona watu wanatumia mbinu za Jecha sasa!
 
Wangeandika tu "mchakato wa uchaguzi umesitishwa mpaka siku Jamal Malinzi akiwa nje ya lupango" ili ajipange vyema na kutetea ugali wake.
 
Serikali ikiingilia hili tutafungiwa na fifa,kuna watu wanataka ule msemo wa tukose wote utimie,watanzania ndio tumefikia hapo kwa kuweka maslahi ya taifa kando na kuangalia maslahi binafsi
 
Serikali ikiingilia hili tutafungiwa na fifa,kuna watu wanataka ule msemo wa tukose wote utimie,watanzania ndio tumefikia hapo kwa kuweka maslahi ya taifa kando na kuangalia maslahi binafsi
kushitakiwa malinxi ni mkono we serikali. Nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…