TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

Pole umehukumu kabisa, kweli Mh Msigwa aliongea, umaskini hauwezi kukuondoka kwa kumchukia tajiri. Pole sana, hakuna kesi pale, ndugu yangu.

Aliyekwambia mie ni masikini ni nan? na kasema nan kwamba namchuki mtu??
 
Hivi kwa mfano tukifungiwa na tukatumia muda huo kujijenga vizuri, ubaya wake nini. wakati mwingine uwoga umetugharimu sana. as if FIFA ni miungu watu fulani hivi.

Bora kufungiwa kuliko kulazimishiwa wezi na wala rushwa kukalia TFF
 
Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.

Kichekesho hicho kimetolewa leo, ikiwa ni siku moja baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kufanya juhudi za Rais wa TFF, Jamal Malinzi afanyiwe usaili licha ya kuwa mahabusu.

Credit: Salehe Jembe
Hawa wanamjaribu Prezadaaaaa
 
Hiyo inaitwa mwanga mboga nimwage ugali...mumemfunga malinzi ili tumchague mtu wenu sasa na sie tunavunja mchakato wa uchaguzi tufungiwe wote na fifa kitaeleweka uchaguzi 2020 kwa nchi ya wapenzi wa mpira team simba watapoungana na team yanga....ahahahahaa

Akili zangu full kuendeshwa kwa mataptap baada ya viroba kuzuiwa...sijui hata nawaza nini aisee.
 
mwenyekiti hawezi sema hivyo kwani hawaungi mkono akina MALI INZI
Ndio maana walipokamatwa usahili ulindelea, nilishaangaa sana. Najua Malinzi ana madhambi yake lakini sio kwa njia hiyo waliotumiwa takukuru.
 
Hii kitu iko hivi kamati ya uchaguzi ina wajumbe watano, wajumbe watatu wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa kamati wanataka Malinzi apite bila kufanyiwa usaili Mwenyekiti na mjumbe mwingine wamekataa kwa sababu kanuni inasema mtu asipofika kwenye usaili anaondolewa kwenye uchaguzi. Hapo ndio kuna mushkeli
Huyu Mwenyekiti namuona anataka kufuata nyayo za Jecha wa Zanzibar, sema yeye anatumia reverse angle.
 
Hatua nzuri pia mpaka mambo yakae sawa
Screenshot_20170702-181158.png
Screenshot_20170702-181232.png
 
Kwani uchaguzi mkuu wa 2015 Bw.Malinzi alikuwa upande gani vilee?
 
Madudu ya tff umeanza kuyaskia Leo mkuu? Mambo ya kupanga matokeo rushwa na mengine mengi sasa kutokana na kwamba serikali hairuhusiwi kuingilia masuala ya soka.
Huoni kwamba huu ndo mwanya wa malinzi kupotezwa kupitia mashtaka yanayomkabili!???
kuna ushahidi au chuki ya maslahi.
 
Madudu ya tff umeanza kuyaskia Leo mkuu? Mambo ya kupanga matokeo rushwa na mengine mengi sasa kutokana na kwamba serikali hairuhusiwi kuingilia masuala ya soka.
Huoni kwamba huu ndo mwanya wa malinzi kupotezwa kupitia mashtaka yanayomkabili!???
Kwa vile we have no independent judiciary inawezekana lkn kama free and fair trial atatoka tu
 
Ukiwa na akili iliyotulia sana, na ukawa na akili ya ziada utajua nini kinendelea, kesho kuna jumatatu ya ya tarehe 3 na 4/7/07 kuna jibu na jumanne. Siku hizo tajwa utapata majibu sahihi.
 
Kwani uchaguzi mkuu wa 2015 Bw.Malinzi alikuwa upande gani vilee?
Huu ndiyo upumbavu ambao hatutaki kuusikia sasa, Hili ni tukio la aibu na ni kashfa mbaya sana kwa Fisadi Jamal Ma inzi,

Huyu fisadi ni kada la ccm na ana kadi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Sijui point yako hapo ni ipi...
 
Back
Top Bottom