TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

Huu ndiyo upumbavu ambao hatutaki kuusikia sasa, Hili ni tukio la aibu na ni kashfa mbaya sana kwa Fisadi Jamal Ma inzi,

Huyu fisadi ni kada la ccm na ana kadi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Sijui point yako hapo ni ipi...
Sawa Bwana Jambazi
Atleast ungeamua kuweka mihemko pembeni kidogo na kutumia kidogo tu sehemu ya ufikiri wako....ungekuja na hoja inayoeleweka.
 
Leo ilitakiwa malinzi akiletwa kisutu kesi ipigwe kalenda hadi mwezi wa nane mwishoni
 
Back
Top Bottom