hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Kama ni inzi kwann wamkamate tena kwa kuvizia uchaguzi umefika nfo mfanye hivyo kama c upumbavu wacha watu wafanye uchaguzi huru sio ujanja ujanja tu.Uzuri wake nn? Kaburu kajitoa, Malinzi amaleta nzi tu
Hawa wanamjaribu PrezadaaaaaKamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.
Kichekesho hicho kimetolewa leo, ikiwa ni siku moja baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kufanya juhudi za Rais wa TFF, Jamal Malinzi afanyiwe usaili licha ya kuwa mahabusu.
Credit: Salehe Jembe
Ndio maana walipokamatwa usahili ulindelea, nilishaangaa sana. Najua Malinzi ana madhambi yake lakini sio kwa njia hiyo waliotumiwa takukuru.mwenyekiti hawezi sema hivyo kwani hawaungi mkono akina MALI INZI
MajiziWanajua walichofanya wao wenyewe
Huyu Mwenyekiti namuona anataka kufuata nyayo za Jecha wa Zanzibar, sema yeye anatumia reverse angle.Hii kitu iko hivi kamati ya uchaguzi ina wajumbe watano, wajumbe watatu wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa kamati wanataka Malinzi apite bila kufanyiwa usaili Mwenyekiti na mjumbe mwingine wamekataa kwa sababu kanuni inasema mtu asipofika kwenye usaili anaondolewa kwenye uchaguzi. Hapo ndio kuna mushkeli
HahahaMajizi
Mkuu hatuonani humu ? Kwema ! Malinzi kumbe ana nguvu ata afanye uchaguzi uhairishwe so sad.Uzuri wake nn? Kaburu kajitoa, Malinzi amaleta nzi tu
Mkuu hatuonani humu ? Kwema ! Malinzi kumbe ana nguvu ata afanye uchaguzi uhairishwe so sad.
kuna ushahidi au chuki ya maslahi.Madudu ya tff umeanza kuyaskia Leo mkuu? Mambo ya kupanga matokeo rushwa na mengine mengi sasa kutokana na kwamba serikali hairuhusiwi kuingilia masuala ya soka.
Huoni kwamba huu ndo mwanya wa malinzi kupotezwa kupitia mashtaka yanayomkabili!???
Kwa vile we have no independent judiciary inawezekana lkn kama free and fair trial atatoka tuMadudu ya tff umeanza kuyaskia Leo mkuu? Mambo ya kupanga matokeo rushwa na mengine mengi sasa kutokana na kwamba serikali hairuhusiwi kuingilia masuala ya soka.
Huoni kwamba huu ndo mwanya wa malinzi kupotezwa kupitia mashtaka yanayomkabili!???
Upande wowote aliokuwa haukumhalalishia yeye afoji na kuchota bil 1.3Kwani uchaguzi mkuu wa 2015 Bw.Malinzi alikuwa upande gani vilee?
Since Febr 2017 !kuna ushahidi au chuki ya maslahi.
Huu ndiyo upumbavu ambao hatutaki kuusikia sasa, Hili ni tukio la aibu na ni kashfa mbaya sana kwa Fisadi Jamal Ma inzi,Kwani uchaguzi mkuu wa 2015 Bw.Malinzi alikuwa upande gani vilee?