NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,804 Reaction score 2,482 Jul 2, 2017 #81 JoJiPoJi said: Labda uniambie tukifungiwa Mbwana anafukuzwa alipo lakini kama ataendelea kucheza huko acha tufungiwe tu Click to expand... Amanda umetisha .
JoJiPoJi said: Labda uniambie tukifungiwa Mbwana anafukuzwa alipo lakini kama ataendelea kucheza huko acha tufungiwe tu Click to expand... Amanda umetisha .
Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 Jul 3, 2017 #82 Jambazi said: Huu ndiyo upumbavu ambao hatutaki kuusikia sasa, Hili ni tukio la aibu na ni kashfa mbaya sana kwa Fisadi Jamal Ma inzi, Huyu fisadi ni kada la ccm na ana kadi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Sijui point yako hapo ni ipi... Click to expand... Sawa Bwana Jambazi Atleast ungeamua kuweka mihemko pembeni kidogo na kutumia kidogo tu sehemu ya ufikiri wako....ungekuja na hoja inayoeleweka.
Jambazi said: Huu ndiyo upumbavu ambao hatutaki kuusikia sasa, Hili ni tukio la aibu na ni kashfa mbaya sana kwa Fisadi Jamal Ma inzi, Huyu fisadi ni kada la ccm na ana kadi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Sijui point yako hapo ni ipi... Click to expand... Sawa Bwana Jambazi Atleast ungeamua kuweka mihemko pembeni kidogo na kutumia kidogo tu sehemu ya ufikiri wako....ungekuja na hoja inayoeleweka.
M mafarisayoo JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,190 Reaction score 830 Jul 3, 2017 #83 Jamaa karejeshwa tena rumande.
Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 3,482 Reaction score 4,673 Jul 3, 2017 #84 Leo ilitakiwa malinzi akiletwa kisutu kesi ipigwe kalenda hadi mwezi wa nane mwishoni