Kaburu amewakamata sana pale tff, yeye ndie anayefanya kaz ya kubadili badili ratiba bila kuwashirikisha wenzake,Hili ligi huwa akijisikia mtu yeyote anajipangia tu ratiba..
Kaburu amewakamata sana pale tff, yeye ndie anayefanya kaz ya kubadili badili ratiba bila kuwashirikisha wenzake,
Juzi kaimu mkurugenzi mkuu wa bodi ya ligi bi fatma anahojiwa na kituo cha redio cha magic fm kuhusu kubadili ratiba ya mechi ya mbeya city vs ruvu shooting anashangaa kuhusu mabadiliko ya ratiba ya mechi hiyo.
Sasa hapo ndipo panaposhangaza kama mkurugenzi wa bodi ya ligi hajui mabadiliko ya ratiba nani anaefanya kaz hiyo ya kubadili badili ratiba!!!!?