Tupe kifungu mzeehaiwezekan mambo yanepelekwa kienyeji enyeji tu ...kuhoji ni haki yetu ya kikatiba mkuu.
Wametuzoea haohaiwezekan mambo yanepelekwa kienyeji enyeji tu ...kuhoji ni haki yetu ya kikatiba mkuu.
Nchi kama Marekani wao hutoa uraia kwa kuchezesha bahati nasibu(Green card) na mshindi hupewa urai.Sasa wana kanusha nini kama sio kukuza mambo
haya mambo ya nchi hii yanahuzunisha kwakweli...yan kila sehemu mambo ni shaghalabaghala...mpaka tunamkumbuka mzee Magu.Hapa sijaelewa,
Tff wanaitahadharisha Wizara ya Mambo ya Ndani......! Kwa sababu taarifa niliyoiona ilikuwa inanukuu taarifa kwenye website ya Mambo ya Ndani au jamaa walinukuu ulongo....!
Kwahiyo alikuwa hana vyeti vya kuzaliwa wala cha uraia?? Tff walimtambuaje sasa hapo kabla?? Watz wote si wajinga kuna wanaoelewa.Alisajiliwa Kama mchezaji wa ndan
Ni sawa hilo liko wazi, watu wanachohoji ni ile statement kuwa ameombewa uraia na TFF, !!hapo ndiko kuna shida uraia anaomba mhusika mwenyewe, sasa hii imekaaje?!!sasa badala ya kutoa majibu wanakuja na vitisho!!!TFF hawatoi uraia nenda wizara ya mambo ya ndani kaulize huko.