TFF yakanusha uzushi unaoenea kuhusu kauli ya msitutishe!

TFF yakanusha uzushi unaoenea kuhusu kauli ya msitutishe!

netein

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
281
Reaction score
480
Point ya msingi wapenda soka, tunataka tujue huyu Kibu Denisi kama hakuwa Raia wa nchi hii pendwa, Mbeya city na Taifa Stars alikuwa anacheza kama mchezaji wa kigen!

Na Simba walimsajili kama mchezaji wa ndan au wa kigeni! Na Uhamiaji, Sheria za kupewa Uraia zilizingatiwa na ni kweli ni rahisi hivyo procedures za kupata Uraia kwamba within a 3days mgen anapewa Uraia!

##TFF msitutishe.
FB_IMG_16334934319964811.jpg
 
TFF hawatoi uraia nenda wizara ya mambo ya ndani kaulize huko.
 
Hapa sijaelewa,

Tff wanaitahadharisha Wizara ya Mambo ya Ndani......! Kwa sababu taarifa niliyoiona ilikuwa inanukuu taarifa kwenye website ya Mambo ya Ndani au jamaa walinukuu ulongo....!
 
Sasa wana kanusha nini kama sio kukuza mambo
Nchi kama Marekani wao hutoa uraia kwa kuchezesha bahati nasibu(Green card) na mshindi hupewa urai.

Kwa hiyo relax kijana issue ya uraia huwa ni jambo dogo tu si complicated kama unavyodhani. Na hili jambo linataka kukuzwa tu na gongo wazi.
 
Hapa sijaelewa,

Tff wanaitahadharisha Wizara ya Mambo ya Ndani......! Kwa sababu taarifa niliyoiona ilikuwa inanukuu taarifa kwenye website ya Mambo ya Ndani au jamaa walinukuu ulongo....!
haya mambo ya nchi hii yanahuzunisha kwakweli...yan kila sehemu mambo ni shaghalabaghala...mpaka tunamkumbuka mzee Magu.
 
Hivi ni kwa nini mchezaji huyu kipindi yuko Mbeya city hakuna waliopiga kelele ?
 
Moderator hiyo headline mliyoi edit haileweki...rudishen kama nlivyoweka awali.
 
TFF hawatoi uraia nenda wizara ya mambo ya ndani kaulize huko.
Ni sawa hilo liko wazi, watu wanachohoji ni ile statement kuwa ameombewa uraia na TFF, !!hapo ndiko kuna shida uraia anaomba mhusika mwenyewe, sasa hii imekaaje?!!sasa badala ya kutoa majibu wanakuja na vitisho!!!
 
Back
Top Bottom