TFF yamtupia virago kocha wa Taifa Stars!

TFF yamtupia virago kocha wa Taifa Stars!

Je timu zisingeongezwa na Caf tokea 16 hadi 24.. tungefuzu?
Je kundi letu lilikuwa gumu kiasi cha kusifia kufuzu?
Watanzania weengi walitegemea Taifa Stars itafungwa lakini kwa kiwango kipi?
Taifa Stars ilifungwa kama walivyofungwa Burundi,Kenya,Namibia,Mauritania,Zimbabwe na wengineo lakini kiwango cha Taifa Stars na hizi nchi zingine kili lingana?
Taifa Stars hata ingepangwa kundi moja na Zimbabwe,Kenya, Na Namibia bado tungeshika mkia?
Taifa Stars pale hakuna kocha.
 
Taarifa za kuaminika zinasema kua kufatia matokeo mabaya walio yapata Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars katika Fainali za Afcon,zimetosha kua sababu za kumfuta kazi kocha Emmanuel Ammunike..Sababu zingine zakumfuta kazi kocha huyo zikiwa nikutafuta kocha atakae weza kuifanya Stars kuweza kufanya vizuri katka michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza baada ya kumalizika kwa Afcon huku hatua za Awali za kufuzu michuano hiyo inayojumuisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani ya Africa, Stars ikipangwa kuminyana tena na Kenya, Harambee Stars!
Mpaka sasa Tff bado hawajaweka wazi ni nani amekabidhiwa timu mpaka pale kocha mkuu atakapo patikana!
Ammunike is Out!je hiyo ni solution kwa matokeo mabovu kwa Stars?kwenu wanamichezo!

President of the Egyptian Football Association (EFA) Hany Abo Rieda resigned after the hosts were stunned by South Africa here on Saturday in the round of 16 at the Africa Cup of Nations.

He also called on the board members to follow suit and submit their resignations.

Egypt was shut out of the last eight 1-0 by South Africa with Thembinkosi Lorch scoring a late goal in the 85th minute. The stunning exit marks the first time since 2004 that Egypt fail to reach the quarterfinals.

Egypt head coach Javier Aguirre was sacked and the whole coaching team was dismissed before Abo Rieda announced his resignation.

"I'm responsible for all the selections and the end results, but I'm still proud of this group of players," the Mexican coach said on the post-match press conference before being fired by the EFA.


 
Coach hajafukuzwa, hii habari ni uzushi
Vipi kiongozi hii habari bado niya uzushi au???
JF nipana tupo wengi tumeenea kila idara,kila sector hivyo habari yoyote kabla hujaipata kwengine ukaanza kuipata humu usiibeze kuita ni uzushi kisa tu umeisoma JF!
 
Nilichokisikia kutoka kw Mh. Mwakyembe na kocha Amunike taarifa ya habari michezo Star TV saa mbili ni tofauti na mleta uzi labda Kama TFF Wana uwezo wa kumpinga Waziri wa Michezo
Nasasa nadhani umeshahakikisha kilichotekea
 
Back
Top Bottom