OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
TFF wameshanawa, sasa ni zamu ya Bodi ya Ligi kunawa ikifuatiwa na Wizara. Wenye akili tushajua maelekezo yalitoka toka ngazi za juu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndimbo na wsnzako mna akili sawasawa?
Nilitegemea utakuja na maelezo ya kina kwanini mliagiza bodi kubadili muda wa mchezo?
Bodi ya ligi wenyewe inaonesha na wao walipokea maelekezo kutoka juuHaya mashambulizi kwa Bodi ya ligi na Wizara.
Weka data uaminike. Yanga walieleza watakachofanya kabla ya muda wa mechi na wakakitekeleza...Huyu waziri wa michezo ni utopolo wa kutupwa kwanini tusiamini hii njama walipanga pamoja
Angalia kuna picha waziri wenu wa michezo kavaa jezi ya utopolo tena kashika mic mbiliWeka data uaminike.... Yanga walieleza watakachofanya kabla ya muda wa mechi, na wakakitekeleza...
Ama kweli nyani haoni kundule.Kwani anayekupa hela ya futari kila siku ni nani kuwa na adabu bibie utakosa pesa ya sikukuu
Alipokea maagizo kutoka wizara ya michezo.Nilipoona tu Rais anahutubia kwenye shererehe la uzinduzi wa likitabu lisilokuwa na maana,muda ambao mechi inatakiwa kuchezwa nikajua hakuna mechi tena.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] daaah Karia Bana Yaaani Aliyetoa taarifa Ndo Huyo Huyo anataka apewe sababu za kuairisha Mechi Kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upumbavu ulianzia kwa kiongozi mkubwa zaidi ya wote Tanzania. Hakukuwa na ulazima wowote wa kulazimisha uzinduzi wa likitabu lisilokuwa na maana.Wacheni upumbavu na kutuona wajinga nyie TFF, maelekezo ya kutoka wizarani yalikuja kwenu ofisini direct na nyinyi TFF ndio mliochukua jukumu la kuutarifu umma kuhusiana na kuahirisha muda wa awali sasa kivipi tena mtoe taarifa ya kutaka bodi ya ligi ndio itoe taarifa kwa umma kwa ilichotokea?
Na mkumbuke tu Serikali inawasiliana na TFF na sio bodi ya ligi, hvyo maelekezo ya wizara yaliwafikia nyinyi na nyinyi ndio mkazikubali hizo sababu zao za kizwazwa